Rekodi mbalimbali zimekuwa zikivunjwa kila siku Duniani, siku chache zilizopita tuliisikia ile ya watu wawili waliovunja rekodi mbili kubwa ile ya mtu mfupi kuliko wote na mtu mrefu kuliko wote Duniani kukutana kwa mara ya kwanza. Leo kuna taarifa kuhusu mtu aliyekuwa akishikilia rekodi ya mtu mnene kuliko wote duniani kwa kuwa na uzito wa...
The post Hii ni ya yule mtu aliyekuwa anashikilia rekodi ya kuwa mtu mnene kuliko wote Duniani … appeared first on TZA_MillardAyo.