Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Mfahamu mwanariadha anayecheza kwenye EPL.

$
0
0

Mchezo wa soka kwa miaka ya karibuni umekuwa ukibadilika kwa kasi huku ushindani wa mchezaji kwa mchezaji na timu dhidi ya timu nyingine ukizidi kuongezeka . Hali hii inamaanisha kuwa wachezaji ambao kimsingi wanalipwa fedha nyingi sana wanalazimika kujituma mara mbili au zaidi ili kuweza kutimiza malengo ya timu zao. Katika kudhihirisha hili wachezaji walio...

The post Mfahamu mwanariadha anayecheza kwenye EPL. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles