</a Ligi kuu ya Uingereza imeendelea leo hii na viongozi wa ligi klabu ya Chelsea leo walisafiri hadi katika dimba la St James Park kucheza Newcastle United. Wakiwa hawajapoteza mchezo wowote katika ligi kuu msimu huu Chelsea leo wamejikuta ndoto zao za kumaliza msimu bila kufungwa zikipotea. Hii ni baada ya kupokea kipigo cha 2-1...
The post EPL: Kilichoikuta Chelsea leo katika mechi vs Newcastle hiki hapa appeared first on TZA_MillardAyo.