Wale fans wa nguvu wa mkali kutoka Nigeria, 2 Face Idibia kaileta zawadi nyingine ya video mpya kabla mwaka haujaisha ambapo millardayo.com imekusogezea akiwa kamshirikisha Manchel Montano ambae ni mwimbaji, mwandishi na producer kutokea Trinidad. Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi...
The post 2 Face kwenye TV yako tena na hii video mpya kafanya na jamaa wa Trinidad. appeared first on TZA_MillardAyo.