Kama ulimis mchezo wa Liverpool vs Everton nimekuweka matokeo hapa
Nchini Uingereza mjini Liverpool leo kulikuwa mchezo wa wapinzani wa jadi kati ya majogoo wa jiji Liverpool dhidi ya Everton. Wakiwa hawajawahi kushinda katika uwanja wa Anfield katika kipindi cha...
View ArticleEPL: Man City vs HulL City magoli na matokeo haya hapa
Siku saba baada ya kutoshana nguvu na viongozi wa ligi Chelsea, vijana wa Manuel Pellegrini Manchester City leo walisafiri mpaka KC Stadium kucheza dhidi ya Hull City. Iliwachukua dakika saba tu...
View ArticleEPL: Chelsea bado moto – hiki ndicho walichowafanya Aston Villa leo
Wiki moja baada ya kushindwa kupata ushindi kwa mara ya kwanza msimu huu kwenye ligi kuu ya England, viongozi wa EPL klabu ya Chelsea leo waliwakaribisha Aston Villa katika uwanja wa Stamford Bridge....
View ArticleEPL London Derby: Arsenal vs Tottenham – matokeo haya hapa
Baada ya mchana wa leo kuhushudia ‘MersesydeDerby’ kati ya Liverpool dhidi ya Everton, muda mfupi uliopita huko London ya kaskazini mahsimu wengine wa EPL, Arsenal na Tottenham Hotspur walikuwa dimbani...
View ArticleLaLiga: Matokeo ya Real Madrid vs Villareal na walichokifanya mashabiki wa...
Baada ya kuifumua Elche magoli 5-1 katikati mwa wiki hii, Real Madrid leo walisafiri mpaka katika dimba la EL Madrigal kukipiga dhidi ya Villareal katika mchezo wa kugombea uchampion wa ligi kuu ya...
View ArticleRekodi mpya ya Messi na matokeo ya FC Barcelona vs Granada
Akiwa na miaka 27 tu mwanasoka bora wa zamani wa dunia Lionel Messi amezidi kuchafua vitabu vya rekodi kwa kuweka na kuzivunja rekodi mwenyewe. Leo hii wakati FC Barcelona ilipoikaribisha Granada...
View ArticleMagazeti ya leo September 28 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleManeno ya Rais wa Simba baada ya hizi droo zao ligi kuu
Rais Simba Evans Aveva kwa mara ya kwanza amefungua mdomo wake na kulizungumzia suala la sare mbili katika mechi zao za Ligi kuu bara ambapo Rais huyu amewataka mashabiki na wanachama wa Simba kuungana...
View ArticleUlisikia ile show ya Jose Chameleone ambayo kiingilio ni milioni moja?...
Kwa hapa Tanzania tumezoea show kubwa kama Fiesta tunaona mastaa wakubwa kama Rick Ross, Ludacris na wengine kwa kiingilio kisichozidi elfu 20 ambapo mwaka huu anashuka T.I October 18 lakini tukirudi...
View Article#Tweets16: Kuhusu ugonjwa wa moyo kwa vijana Tanzania, Tibaigana kuhusu Rais...
Kila siku kwenye page ya twitter ya @millardayo huwa nakuandikia sentensi muhimu za zile stori zote kubwa na zinazogusa kutoka kwenye magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo kwa leo September 30 2014...
View ArticleUkisikia Kigali Rwanda…. ndio hii! picha zaidi ya 20 za mitaa mbalimbali ziko...
Wataalamu wa mambo wanasema kwa jinsi mji wa Kigali unavyojengwa majengo ya kisasa wakati huu, miaka 10 baadae sifa itaongezeka maradufu kwenye list ya miji ya Afrika inayotolewa sana mifano ya kuigwa...
View ArticleBaada ya ushindi wa tuzo mbili… hii ni post nyingine ya Ray Instagram
Ni post ya mwigizaji staa wa Tanzania Ray ‘Vicent Kigosi’ instagram ambayo ni baada ya kupata tuzo mbili juzi ambazo ni Life achievement Award na Best Director. Ameandika >>> ‘Kila kwenye nia...
View ArticleMkasi TV yamuhoji Gardner G. Habash… aliyoyaongea ni pamoja na haya.
Mtangazaji Gardner G. Habash ni miongoni mwa Watangazaji hodari ambao Tanzania imewahi kuwa nao ambapo alianza kwa kusikika kupitia CloudsFM kwenye shows mbalimbali ikiwemo Jahazi kabla ya kuanza kazi....
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 01 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleUCL: PSG walivyoivunja rekodi ya Barcelona msimu huu – Beyonce na Jay Z...
Mwanasoka wa kibrazil David Luiz jana usiku alikuwa mchezaji wa kwanza kuifunga goli FC Barcelona katika msimu mpya wa soka barani ulaya. Luiz alifunga goli hilo katika dakika ya 11 ya mchezo wa...
View ArticleHapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa Redioni leo October 01.
Ahadi yangu kwako ni ile ile kuwa nawe pamoja kwa chochote kinachonifikia iwe ni usiku au mchana,pengine ulikua busy hukufanikiwa kusikiliza Magazeti yakisomwa nimeona nikurekodie mtu wangu usikilize...
View ArticleUCL: Matokeo ya Man City vs AS Roma na rekodi mpya aliyoiweka Totti
Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City imeendelea kutopata matokeo chanya katika michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya kwa mara ya pili mfululizo msimu huu. Wakicheza kwenye uwanja...
View ArticleUCL: Matokeo ya Chelsea vs Sporting Lisbon haya haya
Usiku wa jana watu wawili waliowahi kuwa vipenzi vya nchi ya Ureno – Jose Mourinho na Nemanja Matic walirejea nchini humo katika jiji la Lisbon lakini safari hii wakiwa kama wapinzani. Huku Mourinho...
View ArticleAmber Rose kaitaja sababu nyingine ya kuachana na Wiz Khalifa, picha ya...
Kuvunjika kwa ndoa ya mastaa Amber Rose na Wiz Khalifa kumeendelea kuchukua nafasi kwenye headlines za dunia na hii ni baada ya Amber kutaja chanzo mojawapo cha kuvunjika kwa uhusiano huo. Kwenye...
View ArticleMagazeti ya leo October 02 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View Article