Nchini Uingereza mjini Liverpool leo kulikuwa mchezo wa wapinzani wa jadi kati ya majogoo wa jiji Liverpool dhidi ya Everton. Wakiwa hawajawahi kushinda katika uwanja wa Anfield katika kipindi cha miaka 15 – Everton walijitupa katika uwanja wa wapinzani wao wakiwa na nia ya kuvunja rekodi mbovu waliyonayo kwenye uwanja huo, lakini alikuwa nahodha Steven...
The post Kama ulimis mchezo wa Liverpool vs Everton nimekuweka matokeo hapa appeared first on TZA_MillardAyo.