Baada ya mchana wa leo kuhushudia ‘MersesydeDerby’ kati ya Liverpool dhidi ya Everton, muda mfupi uliopita huko London ya kaskazini mahsimu wengine wa EPL, Arsenal na Tottenham Hotspur walikuwa dimbani kushindania ufalme wa jiji hilo – North London Derby. Mchezo huo uliokuwa mgumu na kasi kwa timu zote mbili umemalizika hivi punde katika uwanja wa...
The post EPL London Derby: Arsenal vs Tottenham – matokeo haya hapa appeared first on TZA_MillardAyo.