Baada ya kuifumua Elche magoli 5-1 katikati mwa wiki hii, Real Madrid leo walisafiri mpaka katika dimba la EL Madrigal kukipiga dhidi ya Villareal katika mchezo wa kugombea uchampion wa ligi kuu ya Hispania – Laliga. Wakicheza kwa kujihami Villareal waliruhusu nyavu zao kuguswa katika dakika ya 32 baada ya Luka Modric kuipatia Madrid goli...
The post LaLiga: Matokeo ya Real Madrid vs Villareal na walichokifanya mashabiki wa Man United vyote viko hapa appeared first on TZA_MillardAyo.