Mwanasoka wa kibrazil David Luiz jana usiku alikuwa mchezaji wa kwanza kuifunga goli FC Barcelona katika msimu mpya wa soka barani ulaya. Luiz alifunga goli hilo katika dakika ya 11 ya mchezo wa Champions League kati ya klabu PSG dhidi ya Barca. Mchezo uliopigwa kwenye dimba la Stade de France na kuhudhuriwa na mastaa kama...
The post UCL: PSG walivyoivunja rekodi ya Barcelona msimu huu – Beyonce na Jay Z wakishuhudia appeared first on TZA_MillardAyo.