Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Baada ya ushindi wa tuzo mbili… hii ni post nyingine ya Ray Instagram

$
0
0

Ni post ya mwigizaji staa wa Tanzania Ray ‘Vicent Kigosi’ instagram ambayo ni baada ya kupata tuzo mbili juzi ambazo ni Life achievement Award na Best Director. Ameandika >>> ‘Kila kwenye nia kuna njia, tulivyoanza tulionekana kama wauza sura tu lakini sasa hivi naweza sema kuwa tunayafaidi matunda tuliyoyavumilia kwa muda mrefu sana, naweza kuthubutu...

The post Baada ya ushindi wa tuzo mbili… hii ni post nyingine ya Ray Instagram appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461