Ukimya wa Ally Kiba utavunjwa na kolabo na huyu staa wa kimataifa?
Ni kitambo sana Ali Kiba hajasikika kwenye single yake mpya isipokua kolabo tu ambayo ni single ya Tunda Man ila yeye mwenyewe amemisika sana kwenye single zake. Tunda Man ambae ni mshkaji wake sana...
View ArticleBaadhi ya picha za show ya Diamond Platnumz na Wema kwenye stage Mtwara jana
May 2 2014 Mtwara ulikua usiku wa Diamond Platnumz na Wema Sepetu kwenye show iliyoandaliwa na Vodacom Makonde beach usiku ambao ulipewa jina la heels and ties ambapo hizi ni baadhi ya picha tu,...
View Articlemillardayo.com inairusha live #KTMA2014, bofya hapa.
Mtu wako wa nguvu Millard Ayo, Jokate, Sam Misago na Salma Msangi ndio tutakua na wewe kwenye #KTMA2014 red carpet na social media lounge!! unaweza kutupata live hapahapa mtu wangu kuanzia saa moja...
View ArticleTuzo za KTMA2014 zitatolewa hapa leo usiku. (pichaz na videos)
Baada ya kuwa umepiga kura kumchagua mshindi wako leo ndiyo siku maalum ya kutangazwa washindi mbalimbali wa tuzo za Muziki Tanzania,sehemu zitakapotolewa tuzo hizi ni Mlimani City haya ni baadhi ya...
View ArticlePicha nyingine za Diamond na Wema kwenye show yao ya Mtwara.
Mei 02 Mtwara walipata nafasi ya kuona show ya moja kwa moja toka kwa Diamond Platnumz na Wema Sepetu,show ambayo ilitawaliwa na mambo mengi ya kimapenzi,maana hata wakati Diamond anajiandaa kupanda...
View ArticleFull Time ya Man U vs Sunderland May 3 2014
Ni game ambayo pia ilikua inasubiriwa sana na mashabiki mbalimbali wakiwemo wa Manchester United kuona game ya pili toka Giggs aachiwe timu kwa muda. Full Time ni Manchester United wamefungwa 1-0 na...
View ArticlePicha 10 za kwanza kutoka kwenye red carpet ya Kili music awards 2014
Tukio linakaribia kuanza kwenye ukumbi wa Mlimani city hall ambapo wasanii mbalimbali wanategemea kushinda tuzo usiku wa leo. Hizi ni picha 10 za kwanza kutoka kwenye red carpet ya Kili music awards...
View ArticlePicha nyingine za red carpet wakiwemo Adam Mchomvu,B12,Fid Q,Nikki wa pili na...
Usijiulize tena watu uwapendao kama Fid Q,B12,Adam Mchomvu,Nikki wa pili wamevaa vipi kwenye red carpet ya KTMA 2014. Hivi ndivyo walivyovaa na endelea kufuatilia TZA kuona kila kinachoendelea. Use...
View ArticlePicha za kundi la kwanza la washindi wa tuzo za KTMA
Kundi la kwanza la washindi wa tuzo KTMA alishinda Diamond na wimbo wa My Number One kwenye category ya wimbo bora wa Afro Pop ambapo tuzo ilipokelewa na producer wake Shedy Cleva. Jinsi Ommy Dimpoz...
View ArticlePale Wema na Diamond walipokutana kwenye steji ya KTMA 2014 na pia kuna...
Tukio bado linaendelea na tuzo zinaendelea kutolewa na hizi ni picha za washindi wengine kwenye categories mbalimbali. Vanessa Mdee ameshinda tuzo ya wimbo bora wa R&B na wimbo wa Closer. Nikki wa...
View ArticleUnaweza kutazama magoli ya mechi za Man Utd vs Sunderland – Man City vs...
Manchester United leo imepoteza mchezo mwingine kwenye dimba lake la Old Trafford dhidi ya Sunderland, wakati huo huo mahasimu wao Man City wamefanikiwa kuiondoa Liverpool kileleni kwa ushindi dhidi ya...
View ArticleMagazetini Jumapili ya leo Mei 04 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Magazetini Jumapili ya leo...
View ArticleHawa ndiyo waliopata tuzo majina na category zao yapo hapa #KTMA2014
Usiku wa Mei 3 ni usiku uliokuwa ukitolewa tuzo mbalimbali kwa wanamuziki waliofanya vizuri mwaka 2013/2014 huku usiku huu ukitawaliwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wanamuziki wa Tanzania,hawa ni...
View ArticleFull Time ya Arsenal vs West Brom May 4 2014
Goli pekee la Giroud kwenye dakika ya 14 leo ndio limechukua headlines za mechi ya Arsena vs West Brom ambapo Arsenal ndio wamechukua ushindi wa hiyo moja. Use Facebook to Comment on this Post The post...
View ArticleUmeisikia hii?? huyu mamba kauwawa jana Kinondoni Dar (picha 4)
Miongoni mwa stori za town nilizozipata ni hii ya Mamba kuuwawa Block 41 Kinondoni Dar es salaam kwenye area ambayo wanaishi watu kadhaa maarufu wa Tanzania akiwemo Kalapina wa kikosi cha Mizinga, hii...
View ArticleFull Time ya Chelsea vs Norwich May 4 2014
Game nyingine ya leo ilikua ni Chelsea vs Norwich ambazo zote zimetoka sare ya 0-0 ambapo kocha Jose Mourinho anasema kikosi chake kilikua slow kwenye kipindi cha kwanza ila hali ilibadilika kwenye...
View ArticleJuventus ndio Machampion wa Serie A !
Unaambiwa Juventus ndio Machampion wa Italia baada ya kuubeba ushindi wa leo >>> Juventus are champions of Italy once more after Roma’s shock defeat to Catania on Sunday secured a third...
View ArticleAyoTV: Dakika 8 za walichofanya Diamond na Wema Mtwara.
Diamond Platnumz pamoja na baby wake Wema Sepetu waliambatana kwenda 88.4 Mtwara kwa ajili ya show ya heels and tie iliyoandaliwa na Vodacom na kuifanya Makonde Beach May 2 2014. Ilikua ni show nzuri...
View ArticleKama hukusikiliza wimbo mpya wa Diva – Mashaalah usikilize hapa.
Huu ni wimbo ambao ulitoka rasmi May 02 ni kutoka Sharobaro Records na ulipata Exclusive Interview kutoka kwa XXL ya Clouds Fm,ni kutoka kwa Diva hapa kamshirikisha Producer wa wimbo huu Bob Junior....
View ArticleVideo: Machozi na vilio vilivyotawala uwanja wa Dortmund wakati Lewandoski...
Wakati zikiwa zimebaki siku chache kabla msimu wa Bundesliga haujaisha, weekend hii Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza mechi yake ya mwisho kwenye uwanja wao wa nyumbani Signal Iduna Park dhidi ya...
View Article