Game nyingine ya leo ilikua ni Chelsea vs Norwich ambazo zote zimetoka sare ya 0-0 ambapo kocha Jose Mourinho anasema kikosi chake kilikua slow kwenye kipindi cha kwanza ila hali ilibadilika kwenye kipindi cha pili lakini haikusaidia kupata goli lolote. Use Facebook to Comment on this Post
The post Full Time ya Chelsea vs Norwich May 4 2014 appeared first on TZA.