Kundi la kwanza la washindi wa tuzo KTMA alishinda Diamond na wimbo wa My Number One kwenye category ya wimbo bora wa Afro Pop ambapo tuzo ilipokelewa na producer wake Shedy Cleva. Jinsi Ommy Dimpoz alivyotokelezea kwenye red carpet Juu na chini ni show ya Mwana F.A alifanya na wamasai Washereheshaji wa tukio Mpoki na...
The post Picha za kundi la kwanza la washindi wa tuzo za KTMA appeared first on TZA.