Picha 40 za jinsi ilivyokua kwenye mwaliko wa WEUSI usiku wa April 30 2014
Kampuni ya WEUSI ambayo ina wasanii kama Joh Makini, Nikki wa II na G Nako ilifanya ile party isiyokua na kiingilio bali kadi maalum kwa kila aliealikwa ili kuitazama kwa mara ya kwanza video mpya ya...
View ArticleHuyu ndie amemtukana Rais na kusema aache bangi, kilichofata ni hiki.
Sio jambo la kawaida mtu kujiamini na kumtukana Rais wa nchi na taarifa hiyo kuripotiwa kwenye vyombo vya habari lakini kwa Samuel Onkwami imekua rahisi kwake ila imemgharimu maana sasa hivi yuko...
View ArticlePharrell anasema wimbo wa ‘happy’ haukuwa wake…
Baada ya wiki kadhaa ya rekodi kuvunjwa na single yake ya ‘happy’ mwimbaji Pharrell Williams kwenye show ya Howard Stern ameeleza wazi kwamba single hiyo sio yake bali ni wimbo ambao uliandikwa na...
View ArticleHiki ndicho kipande kidogo kinachowasumbua wasafiri wa mikoa ya kusini.
Kama hujawahi kusafiri kwenda mikoa ya kusini naomba nikusafirishe kwa picha hizi ambazo zinaonyesha hali ya kipande kibovu kinachowakalisha muda mwingine kwa zaidi ya masaa 10 wasafiri wa mikoa ya...
View ArticleKumbe hata Marekani kuna wanaohukumiwa kunyongwa kimakosa?
Uchunguzi mpya uliofanywa nchini Marekani unaonyesha mmoja kati ya wafungwa 25 wa mauaji hakufanya kosa hilo hivyo zaidi ya asilimia 4 kati ya wafungwa wa kimarekani wamehukumiwa kifo lakini...
View ArticlePale mtoto wa miaka miwili alipojitokeza mbele ya zaidi ya watu 50 na kufanya...
Mara nyingi inatokea kwenye matukio ya kawaida tu lakini kinachofanya iwe stori ni umri mdogo alionao mtoto alafu akafanya vitu vinavyofanywa na Wazazi wake au wengine waliomzidi umri kwa urefu mwingi....
View ArticleTaarifa nyingine waliyopewa ndugu wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia.
Toka March 8 2014 mpaka leo ikiwa ni May, ndege ya Malaysia iliyokua imebeba zaidi ya watu 200 haijulikani ilipo baada ya kupotea ikiwa inatokea Malaysia kwenda Beijing China. Kwa siku zote hizo toka...
View ArticleMay 1 2014 ‘number 1 rmx’ ya Diamond imekua ya ngapi Top10 ya Trace TV ufaransa?
Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila Alhamisi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya Watazamaji Afrika (TRACE TV Urban) May 1 2014 single ya ‘number one...
View ArticleNi zamu ya wenye haya meno sasa, wanalalamika kukosa wapenzi na kukimbiwa.
Ni kawaida kukutana na mtu mwenye meno ambayo yameharibika rangi kwa kubadilika kutoka kuwa meupe na kuwa ya kahawia huku ambapo chanzo kinatajwa kuwa aina ya maji ambayo mtu huyo amekua...
View ArticleMabibi na mabwana! WEUSI wanayofuraha kukualika kutazama video yao mpya ya...
Ni miongoni mwa single ambayo imepanda juu kwa haraka zaidi kwenye Clouds FM Top 20 ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo wakati audio ikiendelea kuchukua headlines, WEUSI wameidondosha video yake...
View ArticleHii proposal ya ndoa imetisha haijatisha?!!
Utatamani kuona tukio lolote ambalo unaambiwa lilifanywa kwa suprise yani bila muhusika upande wa pili kufahamu kama ilikua imepangwa tena sanasana kwenye vitu vikubwa vya maisha kama ndoa au mapenzi....
View ArticleMagazeti ya leo May 02 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Unataka kuwa karibu na kila stori inayonifikia? niko tayari kukutumia...
View ArticleKuhusu mlipuko uliotokea usiku wa kuamkia leo Nigeria na kuua zaidi ya watu 10.
Usiku wa kuamkia leo Maafisa nchini Nigeria wametoa taarifa kuhusu mlipuko uliotokea na kuua watu 19 katika kituo cha basi katika mji mkuu wa taifa hilo Abuja. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa idara ya...
View ArticleTaarifa rasmi ya Yanga kuhusu usajili wa Domayo na Kavumbagu Azam FC
Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezai wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda kujiunga na...
View ArticleNi zamu ya Kenya tena, hii ndio video nyingine mpya iliyofungiwa
Mpaka sasa video hii imetazamwa zaidi ya mara laki moja na elfu 30 kwenye mtandao wa Youtube toka ianze kuonyeshwa April 29 2014 ikiwa ni video ya kipekee na ya kiwango kingine cha juu tofauti na...
View ArticleGood news ya Clouds TV ya kimataifa, kituo cha kwanza cha Kiafrika!
Ni rasmi kwamba Clouds Media International imepewa leseni ya kurusha matangazo katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE) ambapo mkurugenzi Mtendaji Joseph Kusaga amesema sasa kituo cha Clouds TV...
View ArticleKama ulidhani mvua ni mbaya Dar tu, hii ni Marekani na magari yanazama...
Wakati mvua kubwa zimenyesha Dar es salaam siku kadhaa zilizopita baadhi ya watu waliilalamikia Serikali kwamba imefanya uzembe manake kama ingekua imejenga miundombinu vizuri, maeneo ambayo...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo May 03 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Kurasa za mwanzo na mwisho...
View ArticleJirani msumbufu.. kila siku wimbo huohuo tu kwa sauti kubwa
Najua hata bongo hii huwa inatokea pale mnapokua Wapangaji kwenye nyumba moja au majirani alafu chumba cha jirani kila siku unasikia nyimbo za msanii mmoja tu tena zinapigwa kwa sauti kila jamaa...
View Article#Exlusive: Kilichosemwa na Polisi wa Kenya jinsi gari la Freeman Mbowe...
Kwenye magazeti ya April 30 2014 Tanzania miongoni mwa stori kubwa ilikua ni hii ya kukamatwa kwa gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ambae pia ni mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na...
View Article