Wakati zikiwa zimebaki siku chache kabla msimu wa Bundesliga haujaisha, weekend hii Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza mechi yake ya mwisho kwenye uwanja wao wa nyumbani Signal Iduna Park dhidi ya Hoffenheim – pamoja na ushindi waliopata siku hiyo, tukio kubwa lilovutia watu ilikuwa sherehe ya kumuaga mshambuliaji wao kipenzi Robert Lewandoski ambaye ataihama timu hiyo mwishoni...
The post Video: Machozi na vilio vilivyotawala uwanja wa Dortmund wakati Lewandoski akiagwa. appeared first on TZA.