Taarifa za Mtumbwi uliozama Mtwara March 13 ukiwa na kina mama wauza samaki..
Taarifa kutoka Mtwara ambazo zimethibitishwa na jeshi la Polisi ni kuhusu Mtumbwi ambao umezama wakati ukivuka kutoka kitongoji cha Ng’wale kwenda ng’ambo ya pili ambapo ndiyo sehemu waliyokuwa...
View ArticlePingamizi lililowekwa na Mgombea wa CUF kwa Mgombea wa Chadema Ubunge Chalinze.
Hii ni ya leo March 13 2014 ambayo inamuhusu Mgombea ubunge kwa tiketi ya Cuf jimbo la Chalinze kwenda kwa mgombea mwenzake wa jimbo hilo hilo wa Chadema. Mgombea huyo ni Fabian L. Skauki ambaye ni...
View Article10 za Amplifaya March 13 2014
Amplifaya ni countdown show inayosikika J3 mpaka Ijumaa saa moja usiku on Clouds FM ikiwa inazihesabu habari kumi muhimu za siku ambazo ni za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na mengine. Use...
View ArticleMsikilize Mbwiga leo March 13.
Hizi ni taarifa za kimichezo ambazo zinamhusisha Mbwiga wa Mbwiguke na leo kakumbushia timu zilizokua zinasumbua kipindi cha nyuma kwa Dar es salaam. 87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya. Bonyeza play...
View ArticleNitakuepo hapa kesho, nakualika na wewe mtu wangu
Kama upo au utakuepo Dar Jumamosi hii ya March 15 yani kesho, ukiwa na nafasi unaweza ukapita hapa ukaenjoy pamoja na mimi hata kwa nusu saa tu mtu wangu, karibu tufahamiane kifamilia zaidi. Use...
View ArticleLil Wayne anasemaje kuhusu kustaafu muziki? atakaetaka kumuingiza studio tena?
Lil Wayne anasema amekusudia kustaafu muziki baada ya kuachia album yake ya mwisho ya The Carter V lakini kama kuna mtu atajitokeza na atake Wayne afanye album nyingine baada ya hii, ni lazima amlipe...
View ArticleDiamond Platnumz kashika namba moja Top 10 Afrika, 9 alizozishinda ziko hapa...
Toka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika hata nchi za Afrika kwa kucheza muziki wenye viwango kutoka kila kona ya dunia, sijawahi kuona msanii wa Afrika...
View ArticleKuhusu Wema Sepetu kufanya fujo studio baada ya kuwakuta Diamond na Victoria...
Gossip cop Soudy Brown wa U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa shuhuda kwamba jana March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na...
View ArticlePicha 11 za Rais Masikini kuliko wote duniani na mambo 9 yanayomuhusu.
Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake...
View ArticleHii ndiyo kampeni mpya ya Rose Ndauka.
Msanii kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Rose Ndauka amekuja na kampeni ya usafi maalun kwa ajili ya kuliweka safi jiji la Dar es salaam na wilaya zake ambayo ameipa jina la Ng’arisha Tanzania ambayo...
View ArticleHuyu ndio Mgombea Ubunge wa Chadema Chalinze ambae CUF wamesema sio raia,...
Jana March 13 2014 kupitia vyombo mbalimbali vya habari ilitoka stori iliyowahusisha Wagombea Ubunge jimbo la Chalinze ambao ni Fabian Leonard Skauki wa CUF na Matheo wa Chadema ambapo C.U.F walisema...
View ArticleUlisikiliza muendelezo wa Hekaheka ile ya Mwalimu aliyemuadhibu Mwanafunzi...
Hii Hekaheka ilianza jana ambayo ilimhusisha Mwalimu aliyemuadhibu mwanafunzi wake kwa viboko mpaka akazimia kisha kuleta majibu ya nyodo alipoulizwa huu ni muendelezo wake ambapo taarifa iliyotoka ni...
View ArticleNamna Mheshimiwa Sitta alivyoanza majukumu yake rasmi leo March 14.
Hatimaye aliyekuwa Mwenyekiti wa muda Bunge Maalum Pande Ameir Kificho leo ameachia wadhifa wa kiti hicho na kumkabidhi jukumu hilo Mwenyekiti wa bunge hilo la katiba Samwel Sitta na Makamu wake Samia...
View ArticleMsikilize Mbwiga leo March 14
Kawaida ya Mbwiga wa Mbwiguke ni kila Ijumaa kuwepo live studio wakichambua pamoja na dawati la Sports Extra taarifa za kimichezo,hizi ni dakika 3 za kusikiliza Udambwi dambwi wake wa leo. 88.4...
View ArticleHabari 10 za AMPLIFAYA March14 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na ishu...
View ArticleMagazeti ya leo March 15 2014 na stori za Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Magazeti ya leo March 15...
View ArticleBaada ya Wema kudaiwa kumfanyia Diamond fujo studio, leo kaweka hii picha na...
Kupitia You heard ya XXL Clouds FM March 14 2014 zilitoka stori kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio. Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria Kimani...
View ArticleJ.lo angekuta Diddy na Ben Affleck wanaelea kwenye maji angemuokoa nani kati...
Mwimbaji Jennifer Lopez ameshawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mastaa kadhaa wa dunia akiwemo Diddy, Ben Affleck na baadae akaolewa na Marc Anthony. Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni,...
View ArticleNamna Meninah na Linah walivyoamua kuunganisha birthday zao Jumapili hii...
Hii ni party ambayo imeamua kuunganishwa na sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa ya warembo hawa na wanamuziki kutoka Tanzania ni Meninah na Linah kutoka THT ambao kwa pamoja watasherehekea siku hii...
View ArticleHivi ndivyo Rose Ndauka, Meya Silaa na wengine walivyosafisha Jiji
Hii ni kampeni ya Rose Ndauka ambayo kaipa jina la Ng’arisha Tanzania inayohamasisha kuweka jiji la Dar es salaam katika hali ya usafi na kupendeza ambapo kampeni hii inahusisha kufagia baadhi ya mitaa...
View Article