Baada ya Tunda man kuzawadiwa benz na shabiki, huyu ni msanii mwingine bongo...
Kwenye moja kati ya Exclusive za millardayo.com mwaka juzi kabla ya AyoTV kuanza kufanya kazi online, ilikua ile stori ya msanii Tunda Man ambae alionyesha gari aina ya Benz alilozawadiwa na shabiki...
View ArticleBaada ya Lord Eyez kwenye headlines sasa ni Ibra da hustler, haya ni maamuzi...
Ni siku kadhaa tu zimepita toka msanii wa hiphop Lord Eyez kudaiwa kuiba laptop kwenye gari lililokua limepaki kwenye hoteli moja Arusha kesi ambayo ilimpeleka mpaka polisi huku ‘ikidaiwa’ utumiaji wa...
View ArticleBaada ya kutajwa kuwa mwanasoka tajiri zaidi, hiki ndicho alichofanya Ronaldo
Siku chache baada ya kutajwa na mtandao wa habari za michezo wa Goal.com kuwa mwanasoka tajiri kuliko wote Ulimwenguni, Cristiano Ronaldo amefanya kitendo ambacho kimezidi kumpatia sifa ya kuisadia...
View ArticleSikiliza jinsi wafanyakazi hawa walivyobadilishiwa majukumu yao kupitia...
Hii imetokea Songea ambayo ilisemekana kuna nafasi za kazi zilitangazwa Arusha hivyo kuwaomba wafanyakazi,waaliahidiwa mshahara wa 200,000 lakini walipofika wamekutana na mabadiliko makubwa. 88.0...
View ArticleKutoka bungeni Dodoma saa kumi jioni March 12 2014.
Kutoka bungeni Dodoma ( 104.4 Clouds FM) sasa hivi ndio zinapigwa kura za kumtafuta Mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba Use Facebook to Comment on this Post The post Kutoka bungeni Dodoma saa kumi...
View ArticleKutoka bungeni Dodoma saa kumi na mbili jioni March 12 2014.
Taarifa kutoka Mjengoni (104.4 Clouds Fm) hatimae Samuel Sitta ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la katiba kwa kupata jumla ya kura 487 kati ya kura zote 563 zilizopigwa na wawakilishi wa...
View ArticlePicha za majengo yaliyoporomoka New York muda mfupi uliopita.
Majengo mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na wanne wakikimbizwa hospitali. Chanzo cha majengo...
View ArticleUnalikumbuka gorofa lililoporomoka Dar?hapa kuna taarifa yake kutoka...
Kama unalikumbuka Ghorofa lililowahi kuingia kwenye headline kwa kuporomoka likiwa bado linaendelea na ujenzi sasa leo Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala Gabriel Fuime na wenzake 11 wamesomewa...
View ArticleMsikilize Mbwiga leo March 12.
Taarifa za michezo zinakamilishwa na Mbwiga kupitia Sports Extra kwa kila Jumatatu hadi Ijumaa,hizi ni dakika kadhaa anazotoa simulizi kwa soka la zamani. 88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara. Bonyeza...
View ArticleSikiliza kichekesho hiki kinachomhusu Diamond Platnumz.
Mitaani kumekua na vichekesho vingi sana vinavyotungwa ingawa kwa hiki sijajua kilikuwa ni Live au watu waliamua kujirekodi ili kuwacheksha watu,hiki kinavyoelezea ni namna promota huyu wa Morogoro...
View ArticleMatokeo ya Barca vs Man City na ya PSG na wafungaji wake March12.
Kwa stori kama hizi na nyingine za ndani na nje ya Tanzania, karibu kwenye familia ya MillardAyo kupitia twitter facebook na instagram kwa jina hilohilo ili kuwa karibu zaidi na matukio. Use Facebook...
View ArticleHabari 10 za Amplifaya March 12 2014
Kama unahitaji kuwa karibu na kila tukio linalotokea ndani na nje ya Tanzania unaweza kujiunga na familia ya Millard Ayo kwenye facebook twitter na instagram kwa jina la @millardayo Use Facebook to...
View ArticleKwa nini Vanessa Mdee hatoonekana kwenye show mpya TV 1
Kuna taarifa zilianza kupatikana kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kwamba msanii ambae pia ni mtangazaji wa 102.5 Choice FM Dar es salaam Vanessa Mdee ataonekana kwenye show mpya katika kituo cha...
View ArticleUnataka kufahamu mji gani unaotumia Twitter zaidi Afrika Mashariki
Mawasiliano kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter barani Afrika mwishoni mwa mwaka 2013, yaliongezeka hasa kutokana na kifo cha hayati Nelson Mandela. Hii ni kulingana na ripoti yenye mada’...
View ArticleInavyoendelea hali ya kiafya ya Michel Schumacher baada ya ajali mbaya
Bingwa wa zamani wa mashindano ya Fomula 1 Michael Schumacher, amekuwa akionyesha dalili nzuri baada ya madaktari kuanza kumtoa katika hali yake mahututi. Familia yake imesema kuwa bado ina matumaini...
View ArticleWamerekani wengine wanunua hisa Manchester United
Kampuni moja ya uwezekazaji ya kimarekani imefanikiwa kununua robo ya hisa zote za klabu ya Manchester United zilizowekwa sokoni katika soko la hisa la New York. Kampuni ya Baron Capital imekuwa...
View ArticleRihanna na Drake tena, hizi ni za jana usiku Manchester.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi za mastaa wa muziki Drake na Rihanna kwamba wamerudisha uhusiano wao wa kimapenzi. Ingawa wawili hao waliopachikwa jina la ‘AubRih’ (Kwa maana ya Aubrey na Rihanna)...
View ArticlePicha za Ommy Dimpoz akiwa chini ya ulinzi wa polisi Uingereza.. making the...
Ommy Dimpoz amethibitisha kufanya video yake mpya nchini Uingereza chini ya director ambae amehusika kuzifanya video za mastaa kama Fuse ODG, Wizkid na Davido ‘skelewu’ Leo Dimpoz ameshea picha za...
View ArticleKwa wale wa Trey Songz, video yake mpya iko hapa
Amekua ni miongoni mwa wasanii ambao wakikaa kimya kidogo, fans wake wanakua na hamu kubwa ya kusikia kipya kutoka kwake. ) Use Facebook to Comment on this Post The post Kwa wale wa Trey Songz, video...
View ArticleWeekend hii unaweza kuitumia kwa kuangalia hizi movie kwenye theater tofauti.
300 Rise of an Empire ni movie ambayo inategemewa kuangaliwa sana na watu wengi kuanzia kesho kwenye theaters za hapa Tanzania. Movie hii ambayo itaonyeshwa kwenye 3D imetoka kwa director wa 300 na Man...
View Article