Hii ni kampeni ya Rose Ndauka ambayo kaipa jina la Ng’arisha Tanzania inayohamasisha kuweka jiji la Dar es salaam katika hali ya usafi na kupendeza ambapo kampeni hii inahusisha kufagia baadhi ya mitaa katika manispaa ILALA ili kuzoa taka na kuzitupa maeneo husika. Kampeni ilianza majira ya saa moja asubuhi na kumalizika saa 3 asubuhi...
The post Hivi ndivyo Rose Ndauka, Meya Silaa na wengine walivyosafisha Jiji appeared first on TZA.