Mwimbaji Jennifer Lopez ameshawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mastaa kadhaa wa dunia akiwemo Diddy, Ben Affleck na baadae akaolewa na Marc Anthony. Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni, aliulizwa kama ingetokea yuko kwenye boti baharini alafu akawaona Ben Affleck na Diddy wanaelea kwenye maji na wanahitaji msaada, huku J.Lo akiwa na nafasi ya kumuokoa...
The post J.lo angekuta Diddy na Ben Affleck wanaelea kwenye maji angemuokoa nani kati yao? appeared first on TZA.