Post ya January Makamba kuhusu habari mpya juu ya Sim Card Tax
Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alivyotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia hili suala. Naibu Waziri mwenye dhamana ya...
View ArticleYanga yaingia mkataba wa haki za televisheni
Yanga SC imeingia Mkataba wa haki za Televisheni kwa michuano ya Afrika na kampuni ya SGM ya Kenya ambao utaanzia mechi za Raundi ya Kwanza dhidi ya Al Ahly ya Misri,Katibu wa Yanga Beno Njovu amesema...
View ArticleMtu wangu ulimiss Heka heka ya leo?isikilize hapa
Kama kawaida ya millardayo.com ni kukuweka karibu na stori au matukio ambayo kwa bahati mbaya yalikupita au hukuwa na taarifa nayo,sikiliza heka heka ya leo December 19 ambayo inahusu mahusiano kati ya...
View ArticleSikiliza You Heard ya leo December 19
Xxl inakupa nafasi ya kusikiliza Gosip kupitia You heard,na You heard ya leo inamhusu mwanafamilia wa Tmk Wanaume Family Chegge Chigunda,Baada ya kuanzisha kasheshe wakati wa utengenezaji wa video yake...
View ArticleHivi ndivyo Emanuel Okwi alivyopokelewa na wana Yanga
Baada ya taarifa nyingi kusambazwa juu ya mchezaji Emanuel Okwi na maneno mengi mitaani, leo December 19 2013 saa tisa alasiri mshambuliaji toka 256 Uganda, Emanuel Okwi kaikanyaga tena ardhi ya...
View ArticleKama uliimis You Heard ya leo ipo hapa
Mtu wangu wa nguvu kama uliikosa You heard chini ya Soud Brown hii hapa na hii ya leo inamhusu msanii Ney wa mitego. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
View ArticlePicha nikiwa Manyara na watu wangu wa nguvu kwenye muendelezo wa birthday ya...
Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleHuu ndio muelekeo mpya wa Mabeste baada ya kutoka B hits music group
Mabeste Venance kama anavyojiita kwenye facebook, amewapa taarifa marafiki na mashabiki wake juu ya kitu ambacho kitakuwa muelekeo wake baada ya kuacha kufanya kazi na B Hits music group.Kama...
View ArticleJinsi Diamond alivyoenda kuwapa zawadi za msimu wa sikukuu watoto yatima...
Diamond ametumia siku ya leo Dec 20, 2013 kwenda kutembelea,kutoa zawadi na kula pamoja na watoto na walezi wa kituo cha watoto yatima huko Buguruni Malapa House. Diamond anasema kwasababu huu ni...
View ArticleBreaking:Balozi Kagasheki atangaza kujiuzulu
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamisi Kagasheki ametangaza nia ya kujiuzulu wadhifa wake dakika chache zilizopita bungeni mjini Dodoma,sababu kubwa ya kujiuzulu ni baada ya kusomwa ripoti...
View ArticleHawa ndiyo mawaziri waliotenguliwa majukumu yao
Kufuatia majadiliano yanayoendelea Bungeni kuhusu ripoti iliyotolewa na kamati ya ardhi maliasili na utalii, Rais Jakaya Kikwete ametengua majukumu ya mawaziri wanne wa wizara za Maliasili na...
View ArticleMagazeti ya leo Jumamosi December 21 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleMuigizaji Desmond Elliot aingia rasmi kwenye siasa na mipango ya kuwa mbunge.
Muigizaji na director wa movie maarufu kutoka Nigeria Desmond Elliot ameingia rasmi kwenye uwanja wa siasa na hivi sasa ana kadi ya chama cha Labour Party pamoja na plan za kugombani ubunge kwenye...
View ArticleUmezipata salam za Christmas kutoka kwa Chuck Norris?
Baada ya tangazo la Volvo “Epiq Split” lililomuhusisha Van Damme, hatimaye Chuck Norris amejibu mapigo. Van Damme alisimama katikati ya malori mawili ya Volvo lakini hapa Check Norris anasimama...
View ArticleWalichosema baadhi ya watu maarufu kupitia social media baada ya mawaziri...
Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleNani mtani Jembe half time
Mechi ya Nani mtani jembe kwa sasa timu ziko kwenye mapumziko ya kipindi cha kwanza. Simba inaongoza kwa goli mbili kipindi cha kwanza,upande wa magoli yote yamefungwa na Hamis Tambwe endelea kufatilia...
View ArticleMatokeo ya mechi ya “Nani mtani jembe” kati ya Simba na Yanga
Mechi ya Nani Mtani Jembe yakamilika kwa timu ya Simba Sc kushinda magoli 3 ambapo magoli mawili yamefungwa kipindi cha kwanza na goli moja limefungwa kipindi cha pili na kukamilisha magoli 3 kwa timu...
View ArticleVideo mpya kutoka kwa Meninah – Shaghala Baghala
Hii hapa ni video mpya kutoka kwa zao la Bongo star search “Meninah”, audio ya wimbo huu alitoa longtime na hivi sasa ni wakati wa video yake. Enjoy kuangalia hapa. Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleHivi ndivyo wananchi wa Kigoma walivyompokea Zitto Kabwe
Leo Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe amehutubia wananchi wake wa Kigoma kwa mara ya kwanza mkoani hapa tangu avuliwe nyadhifa zake zote ndani ya chama chake cha Chadema. Zitto alifika kwenye...
View ArticleMagazeti ya leo December 22 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View Article