Muigizaji na director wa movie maarufu kutoka Nigeria Desmond Elliot ameingia rasmi kwenye uwanja wa siasa na hivi sasa ana kadi ya chama cha Labour Party pamoja na plan za kugombani ubunge kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.
Desmond amesema ameamua kuigia kwenye siasa ili awe mjumbe wa mabadiliko na hivi karibuni ataanza kazi za kisiasa.
Hapa Tanzania kati ya waigizaji wakubwa waliowahi kuonyesha nia zao za kugombani ubunge ni marehemu Steven Kanumba.
Rest in Peace.