Baada ya tangazo la Volvo “Epiq Split” lililomuhusisha Van Damme, hatimaye Chuck Norris amejibu mapigo.
Van Damme alisimama katikati ya malori mawili ya Volvo lakini hapa Check Norris anasimama katikati ya ndege mbili na wanajeshi juu yake.
Video hii inaangaliwa sana kwenye Youtube hivi sasa kama vipi mtu wangu wa nguvu na wewe iangalie hapa
Note : Huyu siyo Chuck Norris mwenyewe.