Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Matokeo ya mechi ya “Nani mtani jembe” kati ya Simba na Yanga

$
0
0

mtani jembe

Mechi ya Nani Mtani Jembe yakamilika kwa timu ya Simba Sc kushinda magoli 3 ambapo magoli mawili yamefungwa kipindi cha kwanza na goli moja limefungwa kipindi cha pili na kukamilisha magoli 3 kwa timu ya Simba.
Miongoni mwa makosa yaliyoelezwa na wachambuzi wa soka ni kwamba Yanga ilijiamini sana.
Magoli ya Simba yalifungwa na Hamisi Tabwe (2) na Awadh Juma alitupia la tatu kwa upande wa Yanga Emanuel Okwi alitupia goli la kufutia machozi

Use Facebook to Comment on this Post


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles