Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Unazikumbuka movie za Bad Boys 1& 2, hii ni taarifa mpya kuhusu movie hizo

Martin Lawrence na Will Smith ndio mastaa wa movie hizi mbili ambazo zina action na comedy ndani yake. Kama wewe ni mpenzi wa hizi movie basi taarifa ikufikie kwamba Bad Boys 3 ipo kwenye maandalizi....

View Article


Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo August 15 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article


Kuhusu ngoma za Chagulaga kupigwa marufuku na mengine mengi,sikiliza Magazeti...

Ngoma za Chagulaga ambazo asili yake ni mikoa ya kanda ya ziwa na hutumiwa zaidi na kabila la Wasukuma leo kwenye magazeti mbalimbali zimeingia kwenye headline ya kupigwa marufuku na kingine ni...

View Article

Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Ebola kuingia Tanzania.

Ugonjwa wa Ebola ambao kwa sasa umeingia kwenye headlines za dunia kutokana na kuripotiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika sasa umeingia kugusa vichwa vya habari na kuihusisha Tanzania. Waziri wa Afya...

View Article

Sentensi 5 za Meninah kuhusu stori za uhusiano wake na Diamond Platnumz.

Mwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambae ni Diamond Platnumz ambapo kupitia Leo Tena...

View Article


Majibu ya Beka Tittle baada ya kusemekana kumpiga msichana wake na kumuumiza.

Kwenye You heard ya August13 alisikika Mama mzazi wa msichana ambaye inasemekana alipigwa na kuumizwa na msaniia mabye anatokea maskani ya Kinondoni Beka Tittle,Soudy Brown kamatafta na kafanikiwa...

View Article

Magazeti ya leo August 16 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Matokeo ya Manchester Utd vs Swansea City haya hapa

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeanza rasmi leo hii kwa mchezo wa ufunguzi kati ya Manchester United dhidi ya Swansea City. Mchezo huo uliomalizika hivi punde katika dimba...

View Article


Kagame Cup: Matokeo ya Azam FC vs Adama City

Klabu ya Bingwa ya Vodacom Premier League, Azam FC leo hii imeshuka dimbani mjini Kigali Rwanda kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya kombe la Afrika Mashariki na Kati dhidi ya Adama City ya...

View Article


EPL: Matokeo na wafungaji wa mchezo wa Arsenal vs Crystal Palace haya hapa

Siku mbili baada ya kuachana na kocha wake Tony Pulis, klabu ya Crystal Palace leo ilijitupa kwenye uwanja wa Emirates Kucheza na Arsenal katika mchezo wa kwanza wa EPL. Mchezo huo ambao ulikuwa wa...

View Article

Magazeti ya leo August 17 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Soma alichoandika Masanja Mkandamizaji kuhusu uhusiano wa Wema na Diamond

Masanja mkandamizaji mchekeshaji kutoka kundi la Komedi Orijino kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika mawazo yake juu ya uhusiano wa Wema Sepetu na Diamond. Hiki ndicho alichoandika,”Hili swala...

View Article

Story mpya ya Chris Brown inayosambaa kwenye internet

Chris Brown anakaribia kutoa album yake mpya ambayo imechelewa kutoka kwasababu ya kesi zake mahakamani. Lakini hivi karibuni ilisemekana kwamba ameachana na girlfriend wake Karrueche, lakini hivi sasa...

View Article


Kahama leo Aug 17 ndiyo zamu yenu ya kuparty pamoja kwenye Serengeti Fiesta 2014

Mzunguko huu umeanzia Mwanza kisha Ijumaa ya Aug 15 ikawa ni kwa ndugu zetu wa Bukoba,kwa sasa ni Kahama ambao nao kama ilivyokuwa kwa Mwanza na Bukoba nao watauonja utamu huu wa Serengeti Fiesta...

View Article

EPL: Matokeo na wafungaji wa mechi ya Liverpool vs Southampton

Ligi kuu ya England imeendelea tena leo hii kwa mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Southampton. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Anfield umeisha kwa matokeo ya ushindi wa 2-1 kwa vijana wa Brendan...

View Article


EPL: Manchester City walivyoanza kuutetea ubingwa wao leo dhidi Newcastle

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Manchester City leo wameanza mbio za kutetea ubingwa wao kwa kucheza dhidi ya Newcastle United. Mchezo huo uliomalizika hivi punde kwenye dimba la St James...

View Article

Hiki ndicho walichokifanya Kahama,Usiku wa Aug 17 kwenye Serengeti Fiesta 2014.

Mapokezi waliyoyafanya Kahama kwenye Serengeti Fiesta ni makubwa mno ambayo yanaingia kwenye record sawa na Bukoba ambao nao kwa nafasi waliyoipata kama Kahama walifanya mapokezi makubwa. Kwa show hizi...

View Article


Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo August 18 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Sikiliza uchambuzi wa Magazeti leo Aug 18 2014

Sehemu nyingine ninayokupatia uhuru wa kusikiliza magazeti yakisomwa na kuchambuliwa ni hii ambayo labda hukusikiliza asubuhi unaweza kupita muda wowote utakaokuwa na nafasi ya kusikiliza,hapa...

View Article

Picha 14 kutoka kwenye Birthday party ya Dj wa Diamond Romy Jones.

Kama umewahi kuhudhuria show kadhaa za Diamond Platnumz basi utakuwa umeshasikia jina la Romy Jones ingawa muda mwingine hufupishwa kwa kuitwa Dj RJ,Jumapili ya Aug 17 alikua akisherehekea siku yake ya...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live