Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Manchester City leo wameanza mbio za kutetea ubingwa wao kwa kucheza dhidi ya Newcastle United. Mchezo huo uliomalizika hivi punde kwenye dimba la St James Park, City wameanza vizuri kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya vijana wa Alan Perdew. Magoli ya David Silva na Sergio Kun Aguero yalitosha...
The post EPL: Manchester City walivyoanza kuutetea ubingwa wao leo dhidi Newcastle appeared first on TZA_MillardAyo.