Ligi kuu ya England imeendelea tena leo hii kwa mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Southampton. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Anfield umeisha kwa matokeo ya ushindi wa 2-1 kwa vijana wa Brendan Rogers. Magoli ya vijana wa England Raheem Sterling na Daniel Sturridge yaliwapa Liver ushindi huo dhidi ya timu ya Ronald Koeman....
The post EPL: Matokeo na wafungaji wa mechi ya Liverpool vs Southampton appeared first on TZA_MillardAyo.