Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Matokeo ya Manchester Utd vs Swansea City haya hapa

$
0
0

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeanza rasmi leo hii kwa mchezo wa ufunguzi kati ya Manchester United dhidi ya Swansea City. Mchezo huo uliomalizika hivi punde katika dimba la Old Trafford, United imeendelea pale pale ilipoachia msimu uliopita kwa kupoteza mechi ya kwanza kwenye dimba la nyumbani kwa kipigo cha magoli...

The post Matokeo ya Manchester Utd vs Swansea City haya hapa appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461