Siku mbili baada ya kuachana na kocha wake Tony Pulis, klabu ya Crystal Palace leo ilijitupa kwenye uwanja wa Emirates Kucheza na Arsenal katika mchezo wa kwanza wa EPL. Mchezo huo ambao ulikuwa wa mwisho wa siku ya leo kwenye EPL umeisha kwa matokeo ya ushindi wa 2-1 kwa Arsenal. Palace walikuwa wa kwanza kuziona...
The post EPL: Matokeo na wafungaji wa mchezo wa Arsenal vs Crystal Palace haya hapa appeared first on TZA_MillardAyo.