Magazeti ya leo July 30 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleNi time yako tena kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni Leo July 30.
Kama wakati magazeti haya yakisomwa Redioni ulikua busy mtu wangu wala usisikitike hapa nimekurekodia magazeti haya yakisomwa na kuchambuliwa kupitia kipindi cha Power Breakfast na PJ. 87.8 Clouds Fm...
View ArticleInasemekana Future ameshamuacha Ciara yupo na mwanamke huyu sasa
Kwenye ishu ya mahusiano msanii wa Hiphop Future ana sifa ya kuwa na watoto wanne hivi sasa na wote wana mama tofauti. Kabla na uhusiano na Ciara alikuwa tayari na watoto watatu lakini wote aliwaacha...
View ArticleTaarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu ajali iliyotokea asubuhi ya leo Dodoma.
July 30 imesambaa Taarifa ya ajali ambayo imetokea mapema leo na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma ajali iliyosababisha vifo vya watu 17 kati yao wanaume 12, wanawake 5 na majeruhi kwa mujibu wa jeshi la...
View ArticleMapokezi ya Diamond Platnumz July 30 Dar es salaam.
Ni mamia ya wakazi na mashabiki wa muziki wa kizazi kipya walioamua kwenda kumpokea Diamond Platnumz baada ya safari yake ya kutoka Marekani ambayo imekua njema kwa Tanzania baada ya kurudi na tuzo....
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo July 31 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleMengine makubwa ya Magazeti ya leo July 31 unaweza kuyasikiliza hapa.
Miongoni mwa stori kubwa katika uchambuzi huu wa leo ni pamoja na ajali ya basi iliyotokea jana July 30 eneo la Mpwapwa Dodoma,hiyo pamoja na mengine yote yanasomwa na kuchambuliwa na PJ. 87.8 Clouds...
View Article“Arsenal haikuwa na hadhi ya kumsajili Suarez.”– mtambue aliyesema kauli hii
Wakati wa dirisha la usajili msimu uliopita mchezaji Luis Suarez alitingisha vichwa vya habri vya vyombo vya habari zote kutokana na kuwania na vilabu vingi vikitaka kumsajili kutoka Liverpool. Klabu...
View ArticleSikiliza upande wa pili wa ile Hekaheka ya mjane aliyefukuzwa na ndugu wa...
Hekaheka ilianza kusikika upande wa kwanza ambao ulimhusu Mjane ambaye alisema amefukuzwa kwenye nyumba aliyokua akiishi na mume wake na ndugu wa mume wake siku 3 baada ya mazishi. Leo wameongea ndugu...
View ArticleMessi, Neymar, Suarez watashindwa kushiriki kwenye La Liga ikiwa jambo hili...
Siasa ni jambo ambalo limeshikilia hatma ya vitu vingi sana duniani ikiwemo mchezo wa soka ambao una ufuasi mkubwa ulimwenguni kote. Nchini Hispania – Raisi wa chama cha mpira wa miguu nchini Hispania...
View ArticleUnakumbuka lile sakata la Tunda Man?sasa mwenye ile namba kapatikana.
Hii stori ilianzia hapa hapa millardayo.com baada ya Tunda Man kusema kuwa amepigiwa simu na namba asiyoijua na kisha baada ya kuongea nae akaanza kuhisi hali ya utofauti katika mwili wake. Soudy Brown...
View ArticleTatizo kwa Cristiano Ronaldo kuuza bidhaa zake kwa Obama.
Wiki chache zilizopita mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo alitangaza ujio wa mavazi yake mapya kupitia label yenye ufupisho wa jina lake ‘CR7′ lakini biashara yake hiyo inaweza...
View ArticleMagazeti ya leo August 01 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleRipoti ya utafiti wa matokeo ya vita hii ya Israel dhidi ya Palestina
Zikiwa ni zaidi ya wiki tatu zimepita toka kuibuka tena kwa vita ya Israel dhidi ya Palestina, mpaka sasa utafiti unaonyesha ni zaidi ya watu 1450 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi. Wanasema...
View ArticleAugust 01 huu ni uchambuzi wa Magazeti ukisomwa Redioni.
Kama wakati magazeti haya yakisomwa Redioni ulikua busy mtu wangu wala usisikitike hapa nimekurekodia magazeti haya yakisomwa na kuchambuliwa kupitia kipindi cha Power Breakfast na PJ. 88.1 Clouds Fm...
View ArticleKwenye vile visa vya mapenzi na simu… hii nayo ilivunja rekodi
Kuna zile habari ambazo hata ziwe zimetokea miezi au miaka mingapi nyumba, huwezi tu kuzisahau kwa sababu sio za kawaida kuzisikia au kuzishuhudia kabisa. Tumekua tukisikia visa vingi sana...
View ArticleAngalia ugomvi wa Keita vs Pepe – bifu lao la El Clasico lahamia Marekani
Upinzani wa jadi ni kitu cha kawaida sana kwenye mchezo wa soka duniani kote, Tanzania kuna Simba vs Yanga, Uingereza kuna Manchester United vs Liverpool, Misri kuna Al Ahly vs Zamalek, nchini Hispania...
View ArticleIsikilize hapa single mpya ya Dudubaya anayomwambia Shetani ampishe.
Ni time yako kusikiliza single mpya ya Dudubaya, msanii mwingine wa longtime kwenye bongofleva ambae jina lake lipo kwenye list ya Wasanii wa bongofleva waliowahi kumiliki Top10 kwa hits kama...
View ArticleHii ni kuhusu Mrisho Mpoto chupuchupu kuvamiwa na Majambazi.
Jeshi la Polisi limekwisha toa taarifa mara kadhaa juu ya usafirishwaji wa pesa kutoka eneo moja kwenda eneo jingine hasa kutumia njia sahihi ya kusafirisha hizo pesa bila kubeba kwenye gari. Mrisho...
View ArticleMwanaume aliyefiti zaidi kwa mujibu wa jarida Men’s Health – ni mwanasoka
Jarida la masuala ya afya la wanaume la nchini Uingereza kwenye toleo lake jipya limemtaja mwanaume aliyefiti zaidi duniani kutokana na vigezo vyao. Mwanasoka bora wa dunia na mshambuliaji wa klabu ya...
View Article