Kwenye ishu ya mahusiano msanii wa Hiphop Future ana sifa ya kuwa na watoto wanne hivi sasa na wote wana mama tofauti. Kabla na uhusiano na Ciara alikuwa tayari na watoto watatu lakini wote aliwaacha na hivi sasa inasemekana imefika zamu ya Ciara. Tetesi zinasema kwamba Future alikuwa ameachana na Ciara hata kabla ya...
The post Inasemekana Future ameshamuacha Ciara yupo na mwanamke huyu sasa appeared first on TZA_MillardAyo.