Siasa ni jambo ambalo limeshikilia hatma ya vitu vingi sana duniani ikiwemo mchezo wa soka ambao una ufuasi mkubwa ulimwenguni kote. Nchini Hispania – Raisi wa chama cha mpira wa miguu nchini Hispania (LFP) Javier Tebas amesema kwamba klabu ya FC Barcelona haitoweza kushiriki kwenye ligi ya nchi hiyo maarufu kama La Liga endapo tu...
The post Messi, Neymar, Suarez watashindwa kushiriki kwenye La Liga ikiwa jambo hili la kisiasa litatokea…. appeared first on TZA_MillardAyo.