Upinzani wa jadi ni kitu cha kawaida sana kwenye mchezo wa soka duniani kote, Tanzania kuna Simba vs Yanga, Uingereza kuna Manchester United vs Liverpool, Misri kuna Al Ahly vs Zamalek, nchini Hispania kuna kubwa kuliko ambayo inaingiza mpaka mambo ya kisiasa FC Barcelona vs watoto wa mfalme Real Madrid. Uhasama wa Real vs Barca...
The post Angalia ugomvi wa Keita vs Pepe – bifu lao la El Clasico lahamia Marekani appeared first on TZA_MillardAyo.