Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Mapokezi ya Diamond Platnumz July 30 Dar es salaam.

$
0
0

Ni mamia ya wakazi na mashabiki wa muziki wa kizazi kipya walioamua kwenda kumpokea Diamond Platnumz baada ya safari yake ya kutoka Marekani ambayo imekua njema kwa Tanzania baada ya kurudi na tuzo. Mapokezi yalianzia  uwanja wa Julius Nyerere International Airpot kisha msafara ukaelekea mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam ukipitia Buguruni,Kariakoo na...

The post Mapokezi ya Diamond Platnumz July 30 Dar es salaam. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles