Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Kuhusu mechi ya Man United na Cardiff matokeo yake haya hapa.

Kiungo mpya wa Man United Juan Mata ameonekana kuingia na baraka kwa kuingoza timu yake mpya ushindi wa mabao 2-0. Upande wa mechi ya leo Mata ametoa mchango mkubwa sana hasa kama uliangalia mpira ile...

View Article


Matokeo ya mechi zilizochezwa January 28 yapo hapa.

Hizi ni mechi zote zilizochezwa January 28 ikiwa ni siku ya 23 kwenye Premier Legue millardayo.com inakusogezea matokeo haya maana pengine hukuwahi kuitazama sasa matokeo ni hayo. Use Facebook to...

View Article


Sikiliza magazeti yakisomwa redioni hapa

Hizi ni dakika 16 za kusikiliza magazeti yakisomwa na kuchambliwa asubuhi hii kupitia Power Breakfast na ‘PJ’ sikiliza pia kupitia 88.5 Clouds Fm Dar es salaam. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to...

View Article

Raisi wa Barca ataka Messi amzidi Ronaldo na kuwa mwanasoka anayelipwa zaidi...

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi hauzwi na klabu hiyo inapanga kujadili mkataba mpya na raia huyo wa Argentina, amesema rais wa kilabu hiyo Josep Maria Bartomeu. Kuna uvumi kuwa Messi ambaye ni...

View Article

Hali ya Michel Schumacher yaendelea vizuri, ingawa bado yupo hatarini

Mwezi mmoja baada ya kujeruhiwa katika ajali ya mchezo wa kuteleza kwenye barafu, gwiji wa mchezo wa magari yanayoenda kwa kasi Formula 1, mjerumani Michael Schumacher ameiambia BBC kwamba madaktari...

View Article


Baba yake Neymar akiri kupokea fedha ili kuipendelea Barcelona kushinda mbio...

Baba wa mwanasoka Neymar ametetea suala la malipo ya kabla ya €10 million ambayo Barcelona ililiipa kampuni yake miaka mitatu iliyopita ili kupata upendeleo katika kugombea saini ya mchezaji huyo....

View Article

Mambo sita usiyoyafahamu kuhusu wimbo wa Msambinungwa wa Tundaman.

Ni mara chache sana inatokea watu kuelewa maana ya misamiati kadhaa inayotumika sehemu tofauti mfano kwenye mashairi ya nyimbo,nahau au hata misemo kwa mfano mtu akikuuliza nini maana ya Msambinungwa...

View Article

Kuhusu maandalizi ya video mpya ya wimbo wa Sharomilionea ‘Changanya changanya’

Aliyekua meneja wa Sharomilionea Hemed Kavu ‘HK’ ameongea na millardayo.com na ku-amplify taarifa juu ya video mpya ya wimbo wa Changanya Changanya wa Sharomilionea aliyoshirikishwa Ally Kiba. Uongozi...

View Article


Breaking:Ghorofa ya Gms Kariakoo yawaka Moto muda huu.

Taarifa za awali ambazo hazijathibitishwa rasmi  zinadai kuwa kuungua kwa ghrofa hili kumesababishwa na shoti ya umeme kwa sababu sehemu kunakowaka moto kuna transformer,millardayo.com inaendelea...

View Article


Latest News:Kutoka kwenye jengo lililokuwa linaungua moto leo Kariakoo.

Kwa sasa vikosi vya zimamoto vimefanikiwa kuuzima moto huu,wakiongozwa na kikosi cha zimamoto kutoka uwanja wa ndege[Airpot]Madhara,hasara bado hazijatangazwa pia hakuna taarifa ya mtu kupoteza maisha...

View Article

Hiki ndicho kilichompata Pasha,sikiliza kupitia Youheard ya leo.

Hiki kitu kimemtokea Pasha baada ya kugonga mtu na kusemekana mtu huyo amefariki dunia,taarifa mpaka sasa inasemekana bado yuko kituo cha polisi,tumia dakika hizi 5 kumsikiliza Soud Brown kwenye You...

View Article

Kuhusu mwalimu aliyekua anamfundisha mwanafunzi wa darasa la 3 masomo ya...

Hivi ni vijimambo ambavyo vinatokea mara kwa amara kwenye makazi yetu,kutana na huyu baba mzazi ambaye ni mwalimu alipokuwa akimfundisha mwanae masomo ya kidato cha tatu wakati mwanae yuko darasa la...

View Article

Unaambiwa tiketi za kielektorinik leo zimegoma kufungua milango mkwakwani.

Leo Tiketi za elektronik zimeshindwa kufungua milango ya elektronik kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga na kuzua tafrani kubwa,Kawaida mashabiki huzitumia tiketi hizo kufungua mlango lakini...

View Article


Tumia dakika hizi 2 kumsikiliza Mbwiga leo January 29

Mpenzi wa michezo hizi dakika mbili naomba nizitumie kukuunganisha moja kwa moja na Mbwiga kusikiliza udambwi dambwi aliozungumza leo,sikiliza kupitia 107.3 Clouds Fm Manyara. Bonyeza play kusikiliza....

View Article

Magazeti ya leo January 30 2014 Udaku, Michezo na Hardnews

Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa...

View Article


Hizi ni dakika 15 za kusikiliza magazeti yakisomwa asubuhi ya January 30.

Kama kawaida ya millardayo.com ni kuendelea kukuweka karibu na vitu au kitu ambacho kilikupita,naomba kukuunganisha moja kwa m0ja mpaka kwenye Power Breakfast ya Clouds Fm ili kusikiliza Kuperuzi na...

View Article

Huyu ndiye jamaa aliye tayari kumuua hata mama yake ili apate utajiri...

Bado tunasikia stori na zingine watu wamekua wakitoa ushuhuda kuhusu mtu anavyokuwa tayari kufanya kitu chochote ili apate mali,huyu ni jamaa ambaye kamtamkia Mke wake kuwa kuhusu suala la utafutaji...

View Article


Majibu ya kuchelewa kwa video ya Roho yangu ya Rich Mavoko haya hapa.

Mpaka sasa tayari video ya Rich Mavoco ya Roho yangu haijatoka rasmi ingawa ilishatoka taarifa ya kukamilika kwa hiyo video,millardayo.com imeongea na Rich Mavoco kuhusu hii video kwa kuzingatia kwa...

View Article

Sikiliza kilichotokea Nyumbani kwa Ney wa Mitego,kupitia You heard ya leo...

Hizi taarifa anazi-amplify Soud Brown juu ya kilichotokea nyumbani kwake,ambazo inasemekana kamfukuza mshkaji wake kisa ni hiki hapa,sikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya. Bonyeza play kusikiliza. Use...

View Article

Kuhusu kufungiwa video ya ‘Nimevurugwa’ ya Snura taarifa kamili hii hapa.

Inawezekana ukawa unashangaa baada ya kuona ukimya mara baada ya kutambulishwa kwa video ya Msanii Snura kisha kutoiona ikionekana mara kwa mara kwenye televisheni yako,kiu ya swali hili naikata kwa...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live