Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Breaking:Ghorofa ya Gms Kariakoo yawaka Moto muda huu.

$
0
0
Taarifa za awali ambazo hazijathibitishwa rasmi  zinadai kuwa kuungua kwa ghrofa hili kumesababishwa na shoti ya umeme kwa sababu sehemu kunakowaka moto kuna transformer,millardayo.com inaendelea kufatilia taarifa hizi.Ghorofa hili mpaka sasa hivi bado linaendelea kuwaka. Ghorofa hili Lipo maeneo ya Kamata mkabala na Bavaria ni jengo la Gms,Muda uliaoanza kuwaka ni saa 8 mchana mpaka...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles