Baba wa mwanasoka Neymar ametetea suala la malipo ya kabla ya €10 million ambayo Barcelona ililiipa kampuni yake miaka mitatu iliyopita ili kupata upendeleo katika kugombea saini ya mchezaji huyo. Barcelona waliizidi nguvu Real Madrid katika kuwania saini ya mshambuliaji huyo, mwenye miaka 21 ambaye wiki iliyopita uhamisho wake ulileta matatizo Nou camp, na kumfanya...
↧