Kiungo mpya wa Man United Juan Mata ameonekana kuingia na baraka kwa kuingoza timu yake mpya ushindi wa mabao 2-0. Upande wa mechi ya leo Mata ametoa mchango mkubwa sana hasa kama uliangalia mpira ile pasi yake ya bao la pili lililofungwa na Ashley Young lakini Kabla ya hapo Robin van Persie ambaye aliyekuwa anauguza...
↧