Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kuvaa medali za Dhahabu leo?
WASHAMBULIAJI kutoka Tazania Mbwana Ally Samatta na Thomas Emanuel Ulimwengu leo watakuwa wanawania Medali za Dhahabu za michuano ya Afrika wakati klabu yao ya Tout Puissant Mazembe itakapokuwa...
View ArticleMaandalizi ya mwisho kabisa ya Ebss 2013
Yale mashindano ya kumtafuta super star wa bongo Ebss leo ndo fainali zake hapa Escape 1 Mikocheni Dar es salaam. Hatua za mwisho kabla ya shughuli kuanza ndo zinamaliziwa,jukwaani hapo kuna...
View ArticlePicha za Red Carpet Ebss 2013
Hiki ndicho kinachoendelea kwa sasa,upande wa redcarpet hapa Escape 1 Mahali ambako anazaliwa super star wa mwaka 2013 kupitia Epiq Bongo Star Search. Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleHivi ndivyo Emmanuel Msuya alivochukua Milioni 50 za Ebss
 Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika alfajiri hii kwenye ukumbi wa Escape 1. Mashindano haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na...
View ArticleMagazeti ya leo Jumapili December 01 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleMagazeti ya leo December 3 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleYaya Toure aibuka mchezaji bora Afrika 2013
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu,Hatimae kile kinyang’anyiro cha mwanasoka bora wa Bbc kimemalizika,Kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ivory Coast, Yaya Toure ameibuka mshindi wa tuzo ya...
View ArticleHiki ndicho kinacho make headline kwenye instagram kutoka kwa Irene Uwoya
Ukifungua page ya Irene Uwoya kwenye Instagram ambayo anatumia jina la @ireneuwoyaonepieceintown utakutana na hii picha inayohusu kifo cha muigizaji Paul Walker lakini post ya Irene imechukuliwa...
View ArticleWafanyakazi wa KIA mbaroni kwa dawa za kulevya
Wafanyakazi wawili wa kampuni ya uwakala wa uendeshaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KADCO), wanashikiliwa Polisi kwa madai ya kupanga njama za kupitisha wasafirishaji wa dawa za...
View ArticlePicha 4 za Hali ya Kariakoo baada ya mvua ya leo asubuhi
Hii ni mvua iliyonyesha leo asubuhi maeneo ya kariakoo na jinsi hali ya miundombinu yetu ya Tanzania ilivo..Huu ni mtaa wa Uhuru. Â Â Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleUmoja wa Mataifa waanza Kutumia ndege zisizo na rubani DRC
 Majeshi ya Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yameanza kutumia ndege zisizo rubani kuchunguza harakati za waasi katika mipaka na Rwanda na Uganda. Hii ni mara ya kwanza kwa...
View ArticleRipoti kuhusu viwango vya ufisadi Duniani hii hapa
Kumekuwepo na shutuma nyingi za ufisadi kwa nchi mbalimbali kwa miaka na miaka, kwa viongozi na viongozi ambapo hii ndio ripoti kuhusu viwango vya ufisadi. Nchi ya Afghanistan, Korea ya Kaskazini na...
View ArticleMwenyekiti Chadema mkoa wa Singida ajiuzulu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo[Chadema] hivi karibuni kimeingia kwenye headline na vyombo mbalimbali vya habari kutokana na kile kinachoonekana ni kutoelewana kwa viongozi wa nchi wa chama hicho....
View ArticleMagazetini leo December 04 2013 Udaku, Michezo na Hardnews
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleTaarifa ya Chadema mkoa wa Arusha baada ya ofisi kuchomwa moto
Matukio yanayokiandama chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] yamezidi kuchukua nafasi ambapo mkoani Arusha watu wasiojulikana wameshutumiwa kuchoma moto ofisi za chama hicho Jumanne tar 03 Dec...
View ArticleKallage:Bifu la Nisha na Adamu kuna mmoja hana adabu
Wiki chache zilizopita kulikua na kurushiana kwa maneno kati ya madirector wa Bongo Adam Juma wa Next level na Nisha wa Nisha Entertainment,,,Millardayo.com imepiga xclusive na Director John Kallage...
View ArticleZikiwa zimebaki siku 2 tu kati ya siku 14 alizopewa Rage,TFF wataja hatua...
Rais wa TFF, Jamal Malinzi ameutolea ufafanuzi mgogoro wa Simba unaoendelea hivi sasa baada ya mwenyekiti wa Simba Ismail Aden rage kupinga agizo la kuitisha mkutano wa wanachama ndani ya siku 14...
View ArticleKilimanjaro Stars yaingia robo fainali
Leo Kikosi cha Kilimanjaro Stars kimefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji kwa kuifunga Burundi goli 1-0. Katika mechi hiyo Kilimanjaro Stars dakika ya 7,ilifanikiwa kupata goli...
View ArticleMagazetini leo December 05 2013 Udaku, Michezo na Hardnews
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleNMB yadhamini maonyesho ya Mbeya Expo.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe akitia sahihi kitabu cha wageni alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya Mbeya Expo yaliyofanyika katika viwanja vya Mkapa vilivyopo soko la Matola...
View Article