Mashabiki wa kundi la Longombas kutoka Kenya, hii hapa ni ngoma yao mpya
Kundi la zamani kutoka nchini Kenya ambalo lilifanya vizuri na ngoma kama Dondosa na nyingine nyingi. Wamerudi tena na wimbo wao unaitwa Body 2 body. Usikilize hapa Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleMagazeti ya leo August 24 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleCollabo nyingine ya kimataifa inayowahusisha A.Y na F.A
Ni Hamisi Mwinjuma na Ambwene Yesaya, au unaweza kusema ni Mwana F.A na A.Y kwa mara nyingine tena baada ya kutoa “Bila kukunja goti”. Wameingia tena studio na msanii kutoka South Africa anayejulikana...
View ArticleUnajua kuhusu single mpya ya Diamond inayokuja?
Diamond yupo kwenye hatua za mwisho kutoa wimbo wake na video yake ya “Number one” ambapo tayari picha kadhaa zimetoka kwenye internet zikionyesha sehemu ya video hiyo yenye magari ya kifahari ndani...
View ArticleMagazeti ya leo August 27 2013 Udaku, Michezo na Hardnews
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleMourinho kampa Rooney saa ngapi?
. Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amempa mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney saa 48 za kufanya maamuzi, yakiwa ni maneno aliyoyatoa wakati anajibu maswali ya waandishi wa habari juu ya Rooney...
View ArticleVideo mpya ya @Wakazi iliyofanyika Chicago –“Niko tayari”
Wakazi mkali wa Hiphop ambae aliwahi kumiliki stage ya BBA2013 akiwa ni msanii kutoka Tanzania, ametoa video yake ambayo aliifanyia Chicago Marekani. Hii single ni soundtrack ya movie ambayo...
View ArticleJokate na Lucci wanaileta documentary ya behind the scene ya “Kaka dada”
Video kali kama hii lazima utakuwa na hamu ya kuona jinsi ilivyotengenezwa… ‘Kaka dada’ video ya Lucci na Jokate ambayo imetoka ijumaa wiki iliyopita ina story nyingi sana nyuma yake ambazo wengi...
View ArticleKilichotokea 89.7 Singida kati ya Chidi Benz na Ney wa Mitego na picha...
Yeyote ambae damu yake ipo sana kwenye muziki wa bongofleva ni lazima atakua anafahamu kuhusu ugomvi wa muda mrefu, kutoelewana kwa Chidi Benz na Ney wa Mitego, ishu ambayo ilihusishwa hata kwenye...
View ArticleInterview ya Vanessa Mdee nyumbani kwake, amealikwa wapi? ‘closer’ inachezwa...
Nafahamu single ya ‘me and you’ aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz ndio ilifanya Tanzania ifahamu kwamba kuna nafasi mpya inamilikiwa rasmi kwenye bongofleva na mrembo anaitwa Vanessa Mdee. Baada ya hapo...
View ArticleHii sijawahi kuona, taarifa kuhusu Wanafunzi wote wa Form six kufeli.
Kwenye post hii tunajiunga na bbcswahili.com ambao wameandika….. kwa mara ya kwanza katika historia ya Liberia, wanafunzi wote wamefeli mtihani wao wa mwisho wa sekondari na hiyo inamaanisha hakuna...
View ArticleHii ya binti wa miaka 14 kujifungua Mapacha watatu Kenya umeisoma yote?
Radio station ya Kenya ‘Radio Maisha’ imeripoti kwamba wauguzi katika hospitali kuu ya Bungoma nchini humo wamepigwa na butwaa baada ya msichana mwenye umri wa miaka 14 kujifungua mapacha watatu....
View ArticleRay C aingia gym kupunguza mwili wake,cheki picha zake hapa.
Zaidi ya sauti yake nzuri, utambulisho wake mkubwa kwenye game ya bongoflava hasa akiwa jukwaani ni uwezo wake wa kucheza. Uwezo huo ulisababisha hadi mashabiki kumpa jina la kiuno bila mfupa.Sasa...
View ArticleMagazeti ya leo August 29 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleVideo zote za Interview ya Crazy GK na jinsi alivyoingia CloudsFM.
Nakualika kutazama video zote 4 za Exclusive interview ya Crazy GK kwenye XXL FM ya CloudsFM August 28 2013. Ni interview ambayo ilisubiriwa sana baada ya ukimya wa zaidi ya miaka 6 kwenye bongofleva,...
View ArticleSikiliza hapa magazeti ya leo Alhamisi 29 August 2013 kwenye Power Breakfast
Sikiliza hapa magazeti ya leo Alhamisi 29 August 2013 kwenye Power Breakfast Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleEto’o mali ya Chelsea.
Hatimaye msako wa kocha Jose Mourinho wa mshambuliaji atakayeongoza safu ya mashambulizi ndani ya kikosi cha Chelsea umefikia mwisho baada ya klabu hiyo kukamilisha mipango ya kumsajili mshambuliaji...
View ArticlePicha za show ya Irene Uwoya iliyoonyeshwa wiki hii kupitia kupitia Clouds TV
Show ya Paradise inayoendeshwa na actress Irene Uwoya imeanza hatua zake za kubalisha maisha ya watu. Kama hauna taarifa ni kwamba, Irene Uwoya anatembelea watu tofauti ambao nyumba zao hazipo kwenye...
View ArticleSikiliza hapa 255 on XXL Alhamisi 29 August 2013
Ney Wa Mitego Kendrick Lamar TMK Wanaume Halisi Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleHizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye video ya Jux atakayoizindua jumapili hii
@Juma_Jux anategemea kuzindua video yake jumapili hii ndani ya Club Bilicanas, hizi hapa ni baadhi ya picha zilizopigwa kutoka kwenye video atakayo zindua siku hiyo. Use Facebook to Comment on this Post
View Article