Makundi ya UEFA Champions League hadharani.
Kundi A . Manchester United . Shakhtar Donetsk. Bayer Leverkusen. Real Sociedad. Kundi B. Real Madrid. Juventus. Galatasaray. Fc Coopenhagen. Kundi C. Benfica. Paris St Germain. Olympiakos. Rsc...
View ArticleHivi ndivyo Diamond alivyozindua video ya dola 30,000 na kumzawadia Mzee...
Diamond Platinumz jana usiku kwenye hoteli ya Serena alizindua video yake ya Number 1 ambayo ameifanya na kampuni ya Ogopa ndani ya South Arica. Diamond amesema kwamba ametumia dola 30,000 kufanikisha...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho za magazeti ya leo August 30 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleMwanajeshi wa Tanzania afariki dunia kwenye shambulio la bomu huko Congo
Wanajeshi wa Tanzania wanashiriki kwenye operesheni za Umoja wa Mataifa huko Goma DRC. Kikosi cha Tanzania kimeedelea na majukumu ya kulinda amani kama kinavyopangiwa na jeshi la pamoja la Umoja wa...
View ArticleSikiliza hapa magazeti ya leo Ijumaa 30 August 2013 kwenye Power Breakfast
Sikiliza hapa magazeti ya leo Ijumaa 30 August 2013 kwenye Power Breakfast Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleBaada ya yoooote yaliyosikika, picha za Madame Rita na Ney wa mitego hizi hapa
Ni mengi umeyasikia wakati huu ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya kutoa single ambayo amechana baadhi ya watu maarufu kwenye burudani na siasa Tanzania ambao Ney wa Mitego mwenyewe anasema lengo ni...
View ArticleBaada ya kujitolea kwa jamii sana, Simply Madini wamemzawadia hii Miss...
Simply Madini ni kampuni ya Kitanzania, wanadili na kuingiza Tanzania bidhaa Fine Jewelry, Fashion Jewelry, Kids Jewelry and Watches from the US top jewelers and vend to Top Ladies. Baada ya kuguswa...
View ArticleSikiliza hapa Hekaheka ya leo Ijumaa 30 August 2013 kwenye Leo Tena
Sikiliza hapa Hekaheka ya leo Ijumaa 30 August 2013 kwenye Leo Tena Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleBayern Munich yaifunga Chelsea kwenye UEFA Super Cup.
Kocha Mhispania Pep Guardiola ameiongoza Bayern Munich kutwaa taji lake la kwanza kwa msimu huu baada ya kuifunga Chelsea kwa mikwaju ya penati na kutwaa ubingwa wa UEFA Super Cup. Chelsea ndio...
View ArticleMagazeti ya leo August 31 2013 Udaku, Michezo na Hardnews
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleJinsi Lulu alivyoikutanisha kwa mara ya kwanza movie ya Foolish Age na...
Elizabeth Michael “Lulu” usiku wa 30/8 ameandika historia katika maisha yake ya movie kwa kuzindua movie yake mwenyewe kwa mara ya kwanza. Lulu amekuwa akifanya vizuri kwenye movie zinazoandaliwa na...
View ArticleInterview ya Lulu kwenye red carpet siku ya uzinduzi wa Foolish Age
. Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleRatiba nzima ya movie kwenye theater za Dar na Arusha
Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleChukua muda wako kuangalia behind the scene ya video mpya ya Diamond.
c Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleMan City waifunga Hull City
Washindi wa pili wa ligi kuu ya England kwa simu uliopita Manchester City hii leo walivuna pointi tatu muhimu baada ya kuwafunga vijana waliopanda Daraja Hull City kwa mabao 2-0 . City walipata bao...
View ArticleMagazeti ya leo Jumapili September 1 2013
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleBaadhi ya picha za Serengeti Fiesta 2013 August 31 Mtwara!
Matonya kwenye stage Juma Nature kwenye stage Katika show za Fiesta zilizovunja rekodi mpaka sasa mwaka huu hii nayo naiweka kwenye countdown Mshindi wa pikipiki Asanteni watu wa nguvu Mtwara Huu ni...
View ArticleLiverpool 1-0 Manchester United.
Kocha mpya wa Manchester United David Moyes hii leo alionja chungu ya kufungwa kwenye ligi kuu ya England akiwa na klabu yake mpya baada ya United kupoteza mchezo wao dhidi ya Liverpool katika...
View ArticlePicha na info kuhusu Gareth Bale Real Madrid.
Hatimaye klabu ya Real Madrid imethibitisha kukamilisha dili la kumsajili winga wa kimataifa wa Wales Gareth Bale . Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetoka usiku huu (Jumapili Septemba 1) ambayo...
View Article