Diamond Platinumz jana usiku kwenye hoteli ya Serena alizindua video yake ya Number 1 ambayo ameifanya na kampuni ya Ogopa ndani ya South Arica. Diamond amesema kwamba ametumia dola 30,000 kufanikisha video hiyo. Ndani yake ametumia vitu mbalimbali kama boti,magari ya kifahari na camera za kisasa kabisa ambazo zinapaa angani ili kushoot eneo husika.
Uzinduzi huu ulihudhuriwa na wadau mbalimbali pamoja na wasani na video inategemewa kutoka jumatatu. Kitu kingine kilichomake headlines ni pale Diamond alipomzawadi Mzee Ngurumo gari aina ya Fun Cargo. Diamond anaeleza kwamba alijisikia faraja kusikia mzee huyo anasema anapenda muziki wake na atafika mbali, pia katika maisha yake yote ya muziki hajawahi kununua usafiri. Hizi ni picha kutoka kwenye uzinduzi huu.
AY na Salama Jabir
Romie Jones
Chegge
Shaa
Mwana F.A
Luca and Nancy Sumari
JB
Dada yake Diamond,Mama Diamond na Penny
Vicent Kigosi “Ray”
Wasafi dancers
Irene Uwoya
Madam Rita
Ney wa Mitego
Diamond na Mzee Ngurumo
Fella na Babu Tale
Diamond aki-perform Number 1 kwa mara ya kwanza
Hapa ndiyo Diamond akimkabidhi mzee Ngurumo ufunguo wa gari
Mzee Ngurumo ndani ya gari lake aina ya Fun Cargo
Ney wa Mitego hatimaye wakakutana na Madam Rita
Video ya Number 1 ilionyeshwa kwenye screen ndani ya ukumbi wa Serena Hotel