Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Collabo nyingine ya kimataifa inayowahusisha A.Y na F.A

$
0
0

ay_fa
Ni Hamisi Mwinjuma na Ambwene Yesaya, au unaweza kusema ni Mwana F.A na A.Y kwa mara nyingine tena baada ya kutoa “Bila kukunja goti”. Wameingia tena studio na msanii kutoka South Africa anayejulikana na HHP kwa ajili ya collabo.Bila kukunja goti inafanya vizuri sana huku video yake ikisubiliwa kwa hamu kuona jinsi walivyocheza bila kukunja goti.Vipi kuhusu hii ngoma waliyorekodi na HPP, tusubili kuisikiliza na kui-download hapahapa.

ay
hpp

Use Facebook to Comment on this Post


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles