Kama hukusikiliza Magazeti yakisomwa,hapa kuna dakika 17 za kusikiliza...
Miongoni mwa stori kubwa katika uchambuzi huu wa leo ni pamoja na lile jibu alilolijibu Rais Jakaya Kikwete kuhusu madai ya Ridhiwan kukamatwa China na dawa za kulevya,hiyo pamoja na mengine yote...
View ArticleHii ni nyingine tena kutoka Nuh na Shilole?taarifa ikufikie kumbe wameachana.
Stori ya Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo....
View ArticleYaliyoikuta Yanga Kagame Cup baada ya kupeleka kikosi cha Pili
Baada ya jana usiku katibu mkuu wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Nicholas Musonye kutoa onyo kwa Yanga kuwasilisha majina mapya ya wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo August 06 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleHaya ni maswali mengine yaliyoulizwa kwenye mazungumzo ya Rais Kikwete na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete Usiku wa Agosti 2 2014,alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot iliyopo jijini Washington DC Baada ya hotuba yake,Rais Kikwete aliruhusu maswali...
View ArticleKama ulikuwa mbali na radio?ni time yako ya kusikiliza kilichoandikwa na...
Nafasi nyingine ninayokupatia mtu wangu wa nguvu ni kukurekodia magazeti kisha kukuwekea hapa ili kama ilitokea wakati yanasomwana na kuchambuliwa hukuwa karibu na radio basi muda wowote unaweza...
View ArticleKingine kilichomtokea Masogange ndani ya uwanja wa ndege Dar es salaam.
Video model Agnes Masogange mwaka jana alitawala vyombo vya habari baada ya kukamatwa na polisi huko South Africa akiwa na mwenzake Melisa Edward wakiwa na mzigo uliotajwa kuwa dawa za kulevya wenye...
View ArticleDakika 3 na sekunde 14 zinatosha kuangalia hii video mpya kutoka kwa Wiz Khalifa
Hadi sasa umesha enjoy kusikiliza wimbo wa Wiz Khalifa ‘We Dem Boyz’ ambao utakuwa kwenye album ya tano ya Wiz ambayo itatoka August 19. Kwenye hii album ameshirikiana na wasanii kama Nicki Minaj,...
View ArticleHiki ndicho alichojibu Davido kuhusu beef yake na Wiz Kid.
Kwenye internet kulikuwa na tetesi kuhusu Wasanii wa Nigeria Wiz Kid na Davido kuwa na beef ambayo ilichangiwa sana na post za wasanii hawa kwenye social media zikionyesha kama kila mtu anajaribu...
View ArticleVideo ya kwanza ya Hussein Machozi toka afumaniwe na mke wa Mwanasiasa Kenya
Siku zinahesabika toka zitoke stori zake Hussein Machozi kuhusu kufumaniwa na mke wa Mwanasiasa maarufu huko Mombasa Kenya ambapo gazeti la Majira Tanzania liliandika msanii huyu Mtanzania amepewa saa...
View ArticleUnaikumbuka ile kesi ya Samsung na Iphone?hiki ndicho kilichoamuliwa kwa...
Ile kesi ambayo inahusu Kampuni ya Apple na Samsung kwa sasa zimekubaliana kuachana na kutupilia mbali kesi zote zilizofunguliwa Marekani zikiwa zimeshitakiana,Kampuni hizo zilizozana kuhusu uanzilishi...
View ArticleSikiliza namna Mwalimu Mkuu alivyoamrisha wanafunzi kumzomea mzazi wa...
Si hali ya kawaida kwa Mwalimu Mkuu kuwaamrisha wanafunzi kuzomea mtu na haswa mama wa mtoto ambaye pia anasoma shule hiyo hiyo,idara ya Hekaheka ina stori jinsi Mwalimu Mkuu alivyowaambia wanafunzi...
View ArticleHaya hapa ndio majibu ya Yanga kwa CECAFA baada ya kuondolewa Kagame Cup
Siku moja baada ya Shirikisho la vyama vya soka Afrika mashariki na kati CECAFA kuiondoa klabu ya Yanga kwenye michuano ya Kagame Cup itakayofanyika Rwanda, leo hii uongozi wa klabu ya Yanga umetoa...
View ArticleLinex nae kaweka nia ya kugombea ubunge,kwa kupitia chama hiki.
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars anaitwa Linex Mjeda....
View ArticleBaada ya Davido kuongelea beef lao, Wiz Kid amjibu kupitia twitter
Baada ya jana Davido kuzungumzia kitu gani kilimkasirisha hadi bifu na Wiz Kid kutokea, Wiz ameingia twitter na kumjibu bila kumtaja jina kama kawaida yao. Tweet hiyo inadhihirisha kwamba Wiz Kid...
View ArticleMagazeti ya leo August 07 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleHukusikiliza magazeti yakisomwa leo August 07?Nimekurekodia unaweza...
Binafsi siko tayari kuona unapitwa na kitu chochote ambacho kinanifikia iwe ni usiku au mchana,kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa nakupa nafasi ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia kipindi cha Power...
View ArticleMuendelezo wa ile Hekaheka iliyoanza August 06 ni huu.
Inawezekana hukusikiliza kilichoanza kutokea jana sio mbaya nikikukumbusha japo kiufupi ingawa unaweza pia kuisikiliza hiyo hekaheka ya jana August 06 hapa hapa ni kwamba kuna mwalimu mkuu aliwaamrisha...
View ArticleAlichokisema Anti Ezekiel baada ya kusemekana anatoka na dansa wa Diamond...
Mwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana kuwa anatoka na dansa wa Diamond Platnumz. Taarifa ya awali...
View ArticleHivi ndivyo washindi wa Serengeti Dance la Fiesta walivyopatikana
Jioni ya August 07 ndiyo yamemalizika mashindano ya Serengeti Dance la Fiesta ambayo huwa yanaongozana na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta na kwa mwaka huu tamasha hili limeanzia jijini Mwanza....
View Article