Si hali ya kawaida kwa Mwalimu Mkuu kuwaamrisha wanafunzi kuzomea mtu na haswa mama wa mtoto ambaye pia anasoma shule hiyo hiyo,idara ya Hekaheka ina stori jinsi Mwalimu Mkuu alivyowaambia wanafunzi kumzomea mama huyo. Hapa kaongea mama aliyezomewa,mtoto wake pia pamoja na Mwalimu ambaye alipigiwa simu ingawa ushirikiano wake haukuwa mzuri kwa idara ya Hekaheka....
The post Sikiliza namna Mwalimu Mkuu alivyoamrisha wanafunzi kumzomea mzazi wa Mwanafunzi wa shule hiyo. appeared first on TZA_MillardAyo.