Siku moja baada ya Shirikisho la vyama vya soka Afrika mashariki na kati CECAFA kuiondoa klabu ya Yanga kwenye michuano ya Kagame Cup itakayofanyika Rwanda, leo hii uongozi wa klabu ya Yanga umetoa maelezo juu ya kuondolewa kwenye michuano hiyo. Uongozi wa klabu ya Young Africans leo umefanya mkutano na waandishi wa habari juu na...
The post Haya hapa ndio majibu ya Yanga kwa CECAFA baada ya kuondolewa Kagame Cup appeared first on TZA_MillardAyo.