Kwenye internet kulikuwa na tetesi kuhusu Wasanii wa Nigeria Wiz Kid na Davido kuwa na beef ambayo ilichangiwa sana na post za wasanii hawa kwenye social media zikionyesha kama kila mtu anajaribu kumpiga kijembe mwenzake japokuwa hakuna aliyewahi kumtaja mwenzake moja kwa moja. Davido akiwa kwenye tour zake anazofanya Marekani amekutana na Sahara TV ambao...
The post Hiki ndicho alichojibu Davido kuhusu beef yake na Wiz Kid. appeared first on TZA_MillardAyo.