Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Stori za leo July 21 2014 kurasa za mwanzo na mwisho magazetini

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article


Baada ya kauli ya Ally Kiba huu ni ujumbe kutoka kwa Diamond.

Wiki iliyopita kupitia mitandao ya kijamii zilitoka stori ambazo zilizanzia kwenye 255 ya Clouds Fm ambapo aliulizwa Ally Kiba juu ya uhusiano na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Usiku wa kuamkia July...

View Article


Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni July 21.

Nakupa nafasi ya kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni baada ya kupitia kurasa mbalimbali leo July 21 na hapa yanasomwa na kuchambuliwa kwenye kipindi cha Power Breakfast na PJ. 87.9 Clouds Fm...

View Article

Uliipata hii ya waumini wa kanisa Dar kupigana kanisani?

Waumini wa kanisa moja hapa Dar es salaam wamemaua kusitisha ibada baada ya kutokea ugomvi ambao umesababishwa na kutokuwepo kwa maelewano ambapo  walijigawana kimatabaka ya kuamua kila upande kuwa na...

View Article

Baada ya filamu kumalizika,sikiliza alichokifanya Hemed PHD.

Inshu iliyofika mezani kwa mhariri Soudy Brown July 21 ni kuhusu madai yaliyotolewa na Lady Naa juu ya kitu alichosema si kizuri alichofanyiwa na Hemed PHD mara baada ya kumaliza kutengeneza filamu...

View Article


Picha za mastaa walivyoungana na Chris Brown kwenye mechi ya kujitolea.

Chris Brown ameungana na mastaa wenzake kwenye mechi ya kickball kwa ajili ya kujitolea. Mechi hiyo ambayo timu ya Chris Brown ilicheza vs timu ya mtoto wa P. Diddy Quincy Combs lengo lake kubwa...

View Article

Steven Gerrard aipa bye bye timu ya taifa ya England

Hadi sasa Steven Gerrard ameshinda mechi 38 kati ya 114 kwenye mechi za kimataifa katika muda wake wote akiwa mchezaji wa timu ya taifa. Lakini hivi leo Gerrard ametangaza uamuzi wake wa ku retire...

View Article

Umemiss kazi za Ali Kiba?…basi hii inakuhusu.

Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 4 kuanzia leo tarehe...

View Article


Shinda milioni moja cash kutoka kwa Diamond kwa kufanya hivi

Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo wako fanya ujishindia pesa kutoka kwa Diamond. The post Shinda...

View Article


Camera ya paparazi yawanasa Kim Kardashian,Kanye West na mtoto wao...

Kim na Kanye wapo kwenye mapumziko ya kifamilia pamoja na mtoto wao North West huko Puerto Vallarta Mexico. Wakiwa huko paparazi mmoja amewapiga picha kutoka mbali wakiwa kwenye ufukwe wa bahari. The...

View Article

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo July 22 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Kuhusu miili na viungo vya Binadamu vilivyogundulika July 21 Dar es salaam.

Taarifa iliyoanza kusambaa usiku wa July 21 ni kuhusu Mabaki ya miili ya watu ambao wanasemekana zaidi ya 100 kukutwa katika msitu mdogo uliopo eneo la Mpiji,kata ya Mbweni, wilaya ya Kinondoni,ikiwa...

View Article

Dakika 20 za kusikiliza magazeti July 22 yakisomwa Redioni.

Tumia dakika hizi 20 kusikiliza kilichoandikwa kwenye magazeti mbalimbali leo July 22 na hapa yanasomwa na kuchambuliwa kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast na Paul James PJ. 88.4 Clouds Fm...

View Article


Star mwingine kutoka Tanzania ambaye page ya Facebook imekuwa verified

Alama ya verified ndio inatambulisha ukurasa halali wa mtumiaji kwenye mitandao mingi sana. Alama hii ni muhimu sana hasa kwa watu maarufu wanaotumia mitandao ili kuepuka kuwepo kwa kurasa feki ambazo...

View Article

Kauli ya Jeshi la Polisi Tanzania juu ya viungo vya binadamu vilivyopatikana...

Kama mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii kuanzia usiku wa July 21 kulisambaa taarifa na picha zinazoonyesha viungo mbalimbali vya binadamu ambavyo vilitupwa katika daraja la Mpiji. Kamanda wa Polisi...

View Article


Picha za actors 10 waliotajwa na Forbes kwa kulipwa pesa nyingi 2014

Forbes.com kwa wakati huu wametoa list ya mastaa 10 wa kiume ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kazi zao za filamu. Muigizaji mweusi ni Will Smith peke yake kwenye top 10 wengine wote ni wazungu....

View Article

Baada ya Davido kuambiwa anajionyesha na mali zake kwenye instagram..amejibu...

Msanii staa wa Nigeria Davido ni mtu ambae huwa anaonyesha kwenye mitandao vitu vingi anavyonunua mfano saa za Rolex za dhahabu, magari ya kifahari, nyumba na vitu vingine ambapo baada ya kuulizwa...

View Article


Magazeti ya leo July 23 2014 na stori kubwa za Udaku, Michezo na Hardnews

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Dakika 15 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni July 23.

Inawezekana wakati magazeti haya yanasomwa na kuchambuliwa labda ulikua mbali na redio,kama kiapo changu kilivyo kwako mtu wangu wa nguvu chochote kinachonifikia ni lazima ukipate,hizi ni dakika 15 za...

View Article

Baada ya headlines za kufungiwa kwa video, huu ni ujio mwingine wa Sauti Sol.

Baada ya stori za kufungiwa kwa video ya wimbo wao wa ‘nishike’ kundi la Sauti Sol kutoka 254 Kenya limerudi kwenye headlines na single yao mpya ya ‘sura yako’ ‘sura yako’ ni single kutoka kwenye albam...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live