Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 4 kuanzia leo tarehe 21/7.
The post Umemiss kazi za Ali Kiba?…basi hii inakuhusu. appeared first on TZA_MillardAyo.