Forbes.com kwa wakati huu wametoa list ya mastaa 10 wa kiume ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kazi zao za filamu. Muigizaji mweusi ni Will Smith peke yake kwenye top 10 wengine wote ni wazungu. 1 Robert Downey Jr – $75 million 2 Dwayne Johnson – $52 million 3 Bradley Cooper – $46 million 4...
The post Picha za actors 10 waliotajwa na Forbes kwa kulipwa pesa nyingi 2014 appeared first on TZA_MillardAyo.