Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Star mwingine kutoka Tanzania ambaye page ya Facebook imekuwa verified

$
0
0

Alama ya verified ndio inatambulisha ukurasa halali wa mtumiaji kwenye mitandao mingi sana. Alama hii ni muhimu sana hasa kwa watu maarufu wanaotumia mitandao ili kuepuka kuwepo kwa kurasa feki ambazo haziwahusu. Hivi sasa mtu maarufu ambaye page yake ya facebook imekuwa verified ni mchezaji wa kikapu kwenye timu ya Oklahoma City Thunders “Hasheem Thabeet”....

The post Star mwingine kutoka Tanzania ambaye page ya Facebook imekuwa verified appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles